TWENDE STEP BY STEP KWA WINDOWS 7
Step 1.Click Start, then peleka Cursor kwa "Computer" alafu bonyeza "manage"
2. Baada ya hapo click "disk management" hapo itapopulate volumes zilizopo kwenye computer yako, kama hukuwahi kuwa na partition basi itakuletea mbili tu, kama unazo tayari zitakuja zote, ikiwamo na ile ambayo imejificha <system Reserve volume>
3. Kile ki VOLUME cha kwanza usihangaike nacho kabisaa, click ile nyingine ya pili ndo HDD halisia ya kuifanyia partition, kama mfano wa picha hii, iyo disk ya pili (iliyokuwa SHADED)..ndio tunayoifanyia partition hapa
4. Sasa nenda kwa volume hiyo ya pili alafu, kama nlivoielekeza hapo juu, alafu right click bonyeza "shrink volume" hapo computer inaipopulate HDD na kutazama kama kuna uwezekano wa kufanya partition ndani ya hiyo volume
NOTE: Partition bila software kama hii tunayoifanya hapa, haitakiwi kupungua 5GB, so kama HDD itakuwa chini ya 5GB hutoweza kufanya partition.
5. Ile stage ya kufanya shrink volume huchukua muda kutokana na kiwango cha data zilizopo kwa HDD na disk space ilyobaki, sasa ikimaliza tunaendelea ...>>>ikimaliza itakuletea amount of disk space to shrink, sasa hapo unaweza weka wewe utakavyo, ukiacha ivo ivo sio mbaya kwa maana by default huigawa disk space iliyobaki nusu kwa nusu....kama hivi
6. Sasa baada ya hapo, italeta amount of disk space "unallocated" hiyo itakuwa na label nyeusi, na hapo sasa inakupasa u ALLOCATE hiyo volume ili ionekane kwenye computer.....
7. Baada ya hapo right click kwa iyo volume yenye label nyeusi, alafu click "new simple volume" baada ya hapo ni kubonyeza NEXT.... NEXT.. NEXT...NEXT.....FINISH, tayari kwisha habari yake, hapo sasa utaona disk imeongezeka, zitakuwa tatu yaani, ile ya system ambayo hatuigusi, HDD ya kwanza ambayo ni drive C: na volume iliongezeka inakuwa imeandikwa "NEW VOLUME"
#ComplexSystemTanzania