Search results

  1. Rose Bud

    Akimbia utamu wa mama na binti zake

    Mkasa mkasaaa. Mkasa huu nilisimuliwa zamani kidogo na jamaa yangu mmoja lakini umenikaa kwa kichwa hadi leo. Haya mkasa huu ulimtokea kaka mmoja akitokea moja ya nchi za Afrika ya mashariki, alipoenda kutafuta maisha katika moja ya nchi za mashariki ya kati. Bwana huyu alipata kazi ya udereva...
  2. Rose Bud

    Je, hizi zinaweza kuwa ni sababu za ongezeko la UTI?

    Kwa miaka ya hivi karibuni watu wanaokuwa diagnosed na UTI imeongezeka maradufu. Katika kutafuta sababu nimekuja na sababu tatu ambazo zinazoweza kuchangia. Wakuu, je wewe unadhani ipi ni sababu kubwa kwa ongeze la ugonjwa huu kati ya hizi A: Ongezeko la mwanawake wa sikuhizi kushindwa...
  3. Rose Bud

    Bei hii ni motoooo

    Waaah, sijawahi waza kuna baiskeli za bei hii. Eti $ 11,999.99. Na hapo bado nitumie miguu yangu kuisukuma huko milima ya uluguru, na hapo inakuja bila pedals, hizo unalipia extra.
  4. Rose Bud

    Msaada wa mawazo, kutimuliwa toka kwa Trump

    Wakuu wa JF, Mimi naishi US na niko huku miaka mingi tu, lakini sasa hivi hali ya uhamiaji ni tete, uwe unaishi kiharamu au kihalali. Naona naweza kurudishwa bongo muda wowote, naomba msaada wa mawazo jinsi navyoweza kuendesha maisha nikiwa huko. Nijipange sasa
  5. Rose Bud

    Ushauri: Ujenzi wa nyumba

    Wakuu nimeamua kujenga, Mjini hakuna baba/mama mwenye gari ila baba/mama mwenye nyumba. Naomba ushauri juu ya mbinu na njia zote za kubana matumizi kuanzia hatua za kwanza za ujenzi hadi za mwisho. Nahitaji economical and efficient ways za kujenga nafuu. Karibuni
  6. Rose Bud

    Ushauri: Matumizi ya kiwanja

    Nina eneo lenye ukubwa ya karibia nusu heka maeneo ya Kimara Suka, Kama dakika tano toka Morogoro road kwa mguu. Kuna mjengo ambao haujaisha, ambao unaweza kuwa hall ya sherehe, godown, ama office. (kupangisha bank, kampuni ya simu, nk). Kwa hivyo vitatu hapo ipi italipa zaidi, kuna utaratibu...
Back
Top Bottom