Search results

  1. Mlango wa gunia

    Gharama ya kutengeneza kisima Dar

    Well said thanks Candid
  2. Mlango wa gunia

    Kazi ya (NO) Security officer UN

    hii ni Internal Vacancy kama kichwa cha habari kinavyo jionyesha hapa chini UNITED NATIONS WORLD FOOD PROGRAMME INTERNAL VACANCY ANNOUNCEMENT "WFP is an equal opportunity employer and qualified women are strongly encouraged to apply"
  3. Mlango wa gunia

    Samsung 32" lcd tv kwa 650,000/=

    biashara hii iko wapi tuje?
  4. Mlango wa gunia

    Polisi kaniharibia siku yangu

    Type hii ndio tufanye nao Polisi jamii, Kabla ya kuja na agenda ya polisi jamii fagia aina hii wote
  5. Mlango wa gunia

    Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

    me lov dis one
  6. Mlango wa gunia

    Polisi jamii, mbinu hii inazuia uhalifu au inachochea?

    Kaka Ntagunga kwa nchi zilizoona tatizo matatizo ya dhana hiyo ya utumiaji nguvu na unyanyasaji wa Raia wanawaita Idara ya Polisi (Police Department au police Service) Mfano wa karibu: Following the promulgation of the new Constitution of Kenya on 27 August 2010, as laid down in Chapter 17...
  7. Mlango wa gunia

    Polisi jamii, mbinu hii inazuia uhalifu au inachochea?

    kabla hawajaleta hoja ya polisi jamii walitakiwa wafanye mabadiliko makubwa yenye tija ndani ya polisi,halafu waijenge upya imani waliyoipoteza toka kwa wananchi then ndio waje na kupandikiza wazo la polisi jamii. Kwanza waache kuitwa Jeshi la polisi hili neno jeshi linawajengea dhana ya...
  8. Mlango wa gunia

    Wapi nitapata mafunzo ya intelijensia?

    Vyuo vya kusoma vingi link mojawapo ni hii B.A. in Intelligence Studies | Intel Studies Website
  9. Mlango wa gunia

    associated degree

    Kwanza tusahihishane ktk jina inaitwa Associate Degree na sio Associated Degree Degree hii inatolewa ktk mfumo wa US baada ya kukamilisha miaka 2 ktk junior universities na Colleges. Roughly tunaweza kusema ni kama Foundation degree kwa mfumo wa UK BTEC Hong Kong introduced associate degrees, as...
  10. Mlango wa gunia

    Mwakyembe anasikitisha! Walaaniwe wanaohusika!

    You can always win against nature but never defeat it.
  11. Mlango wa gunia

    Wapi nitapata mafunzo ya intelijensia?

    Kwa hapa TZ ni mafunzo yanapatikana ktk vyombo vya dola TISS,JWTZ na Polisi,hivyo sharti uwe mmoja wao kupata mafunzo hayo. Kwa wenzetu kama USA hiyo ni field of study kama nyinginezo unaweza kusoma katika universities kadri ya uwezo wako
  12. Mlango wa gunia

    Tanzania on alert!

    Hawa wa "k" wametumwa kwa maslahi ya wakubwa.Wakubwa hawataki tena kwenda na vita ya ardhini halafu wakapigwa kwa mara ingine tena,ndio sababu France inawasaidia kenya kurusha makombora kutokea kwenye meli yake ya kivita bahari ya Hindi na Marekani imeweka base yake ya drones kama sikosei...
  13. Mlango wa gunia

    Kenya declares war on Al Shabaab!

    Elgiva Bwire has been jailed for life after admitting that he was an Al Shabaab member and was behind the attack in Nairobi's OTC bus stop on the evening of Monday October 24. Bwire, alias Mohamed Seif told said he had no regrets after a magistrate read out the sentence for his crimes, that...
  14. Mlango wa gunia

    Kova: Maandamano ya DOWANS kesho marufuku!

    kwa mara ya kwanza ninakubaliana na Polisi ktk hili sababu kwa kipindi hiki ambacho hali ni tete hawa jamaa Al shabab wanaweza kutupiga ktk maandamano na kusababisha mass casualty, tukikumbuka uganda jinsi walivyoshambuliwa wakati wakiangalia world cup. Kifupi kwa kipindi hiki tujiepushe na...
  15. Mlango wa gunia

    DCI Manumba: Kuna tishio la al-shabaab kushambulia Tanzania...

    Alichokisema kinatokana na threat analysis waliyofanya,sasa tatizo ni kuwa tutashambuliwaje hilo si rahisi kufahamu mpk kuwa na reliable source of information.Katika lugha nyingine pilisi jamii inatumika hapa kwa kushirikisha umma endapo utaona jambo lolote lililo ndivyo sivyo basi utoe taarifa...
  16. Mlango wa gunia

    Nina aibu mpaka najiogopa!!

    huenda link hii inawweza kukupa lolote la kukusaidia:How to Overcome Shyness - wikiHow
  17. Mlango wa gunia

    Tanzania photos (Tanzania's wildlife and natural beauty)

    Inani kumbukumbusha nyimbo za shule ya msingi 1.Tanzaniiiiiia Tanzaniiiiiia nakupenda kwa moyo wote......... 2.Mbuga za wanyama Tanzania ya kwanza ni Serengeti,ngorongoro,Manyara na mikumi...... 3.Tanzania Tanzania nchi yenye mali nyingi watu wengi wa ulaya wana ililia sana.......... Kazi nzuri...
  18. Mlango wa gunia

    Mtikila: CCM inafanya mafunzo ya wizi wa kura Afrika Mashariki

    kaongea kwa herufi kubwa tupu.
Back
Top Bottom