Search results

  1. Bekiri

    Uchaguzi 2020 Sababu tano za kwanini sitoichagua CHADEMA Oktoba 28

    1. Ilani ya Chadema katika SURA ya 12.1 (a), inakusudia kuuza Nchi kwa kuweka REHANI madini yetu. Jaribio hili litaleta mgogoro mkubwa wa ardhi kati ya Wananchi na watakaopewa madini hayo kwa dhamana wakati wa matumizi ya ardhi kwa kuwa madini yapo chini ya ardhi na wakati wote wa REHANI ardhi...
  2. Bekiri

    Mafanikio ya Muungano wa Serikali mbili

    1. Chama Cha Mapinduzi kimeendelea kuthamini na kudumisha Muungano wetu ambao ni wa kipekee na kihistoria, uliounganisha nchi mbili zilizokuwa huru za Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar. 2. Muungano huu ni nguzo ya umoja, mshikamano, amani na utulivu wa wananchi wa pande zote...
  3. Bekiri

    Uchaguzi 2020 Nitaichagua tena CCM tarehe 28 Oktoba

    Nitapiga KURA ya NDIO kuichagua CCM ifikapo tarehe 28 Oktoba 2020. Nitaichagua kwa sababu sababu zifuatazo; 1. Ndicho Chama pekee kinacholinga na kutetea Muungano wa Tangangika na Zanzibar. 2. Ndicho chama pekee ambacho Wagombea wake wanapinga hadharani ushoga. 3. Ndicho chama pekee...
  4. Bekiri

    Uchaguzi 2020 Ilani ya CHADEMA haijitoshelezi!

    Ilani ya Chadema ni TAKATAKA ya kutupwa dampo. Haiwezi kuongoza hata kijiji. Ilani haina utafiti wowote wala analysis yoyote imeandikwa kama barua ya posa. Inasema tutaboresha barabara bila kueleza tatizo la barabara ni kubwa kwa kiasi gani na wataanza na barabara gani kwa muda gani. Kwa Ilani...
  5. Bekiri

    Uchaguzi 2020 Siku 45 za kampeni za Urais 2020 nimejifunza haya...

    1. Mgombea wa CCM akihubiri Upendo, Umoja, Amani na Mshikamano; Mgombea wa CHADEMA anahubiri mafarakano na utengano baina ya Watanzania wenyewe. 2. Mgombea wa CCM anaeleza namna kusimamia na kuboresha Muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar; Mgombea wa CHADEMA anahubiri kuuvunja ndani ya siku...
  6. Bekiri

    Uchaguzi 2020 Aliyemshauri Lissu baada ya kuadhibiwa na NEC anaweza kuendelea na shughuli za chama amemshauri vibaya

    Imeandikwa, kiburi si maungwana na mtoto mkaidi hawezi kufaidi hadi siku ya Iddi. Tundu Lissu anaingia katika kundi hili kwa kushauriwa vibaya au kukaidi ushauri mzuri. 1. Aliemshauri Lissu kuwa baada ya kuadhibiwa na Kamati ya Maadili ya NEC anaweza kuendelea na shughuli za Chama kama Makam...
  7. Bekiri

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu anataka Urais wa Tanganyika?

    Tundu Lissu sio muumini wa Muungano wa Serikali mbili. CHADEMA sio waumini wa Muungano wa Serikali mbili. Muulizeni Lissu anataka kuwa Rais wa Muungano upi?? Ni hivi; tunatafuta Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao Lissu na CHADEMA hawautambui, wanasema ni batili, unaopaswa kuvunjika...
  8. Bekiri

    Uchaguzi 2020 Ijue na itambue Ilai ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2020 hadi 2025

    Kama ilivyo ada na kawaida kwa vyama vya siasa kuandaa Ilani yao ya uchaguzi yenye vipaumbele na sera wanazoenda kutekeleza baada ya kushinda uchaguzi na kuunda serikali, Chama Cha Mapinduzi kupitia Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM imetoa Ilani ya CCM ya mwaka 2020-25 liyoeleza vipaumbele na...
  9. Bekiri

    Uchaguzi 2020 Mapinduzi makubwa kwenye sekta ya afya: Uchambuzi wa ilani ya CCM 2020-25

    Ili kujenga Taifa makini lenye ustawi na maendeleo, huduma za afya ni muhimu sana ili kuhakikisha wananchi wanakuwa na afya bora ili kuwawezesha kushiriki katika shughuli za maendeleo ya nchi. *Sura ya tatu ya Ilani ya CCM, kipengele cha 81 kwenye huduma za Jamii* imeeleza kwa kina mafanikio...
  10. Bekiri

    Uchaguzi 2020 Chama kinachotaka kuhudumia Watanzania, kinabagua na kuweka nongwa maendeleo yakipelekwa sehemu fulani ya nchi

    Kampeni za vyama mbalimbali vya siasa zimeendelea kutimua vumbi maeneo mbalimbali ya nchi yetu. Leo naomba nitoe dukuduku langu kwa uchache sana. Kwa mshtuko sana nimesikitika kuona baadhi ya vyama vya upinzani kuanza ubaguzi wa waziwazi kwa kuumia na kuweka nongwa Serikali kupeleka maendeleo na...
Back
Top Bottom