Uchaguzi 2020 Tundu Lissu anataka Urais wa Tanganyika?

Bekiri

Member
Jun 30, 2013
14
75
Tundu Lissu sio muumini wa Muungano wa Serikali mbili. CHADEMA sio waumini wa Muungano wa Serikali mbili. Muulizeni Lissu anataka kuwa Rais wa Muungano upi??

Ni hivi; tunatafuta Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao Lissu na CHADEMA hawautambui, wanasema ni batili, unaopaswa kuvunjika haraka sana.

Lissu akija kuomba kura kwenu Zanzibar muulizeni, anataka tumchague awe Rais wa Muungano upi? Je, anataka kuwa Rais wa Tanganyika anayoiamini isiyokuwepo? Muulizeni kwa sababu ni haki yenu kutambua msimamo wa Rais wenu ktk Muungano kabla ya kumchagua.

Akizungumza Bungeni mwaka 2014 katika Bunge Maalumu la Katiba, Tundu Lissu alisema kuwa HATI ya Muungano haipo na haijawahi kuwepo. Ilipotolewa HATI hadharani bado alisisitiza kuwa ni HATI feki kwa sababu haijulikani na wananchi.

Kwa maneno haya Lissu hatambui kabisa uwepo wa Muungano kwa kuwa HATI ndio chapisho linatambulisha Muungano kisheria.
Mme asietambua cheti cha ndoa ndio haitambui ndoa yenyewe, muulizeni Lissu akiwa rais wa Muungano anakwenda kusimamia Muungano upi?

Muulizeni, kwa kuwa hati ya Muungano ni nyaraka inayotunzwa ktk ofisi ya Rais wa Muungano, yeye haitambui kwa sababu ni feki kama alivyisema, sasa endapo atakua Rais atachukua hatua gani!? Je, ataendelea kuhifadhi nyaraka feki au ataichana vipande na vipande na kuitupa baharini? Muulizeni.

Akizungumza katika kipindi cha mikasi cha Salama Jabir, mwaka 2016 Lissu alirudia kauli yake kuwa hakubalinani na Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Jamhuri ya Muungano wa Tanzania). Akasema kuwa, ktk mambo ambayo Mwalimu Nyerere alikosea sana ni hili la Muungano.

Lissu akaongeza kuwa watu wenye akili timamu sasa wanapaswa kujadili namna ya kuuvunja Muungano. Kwa kuamini kuwa Lissu ana akili timamu ndio kuamini kuwa Lissu anatamani kuuvunja muungano!
Muulizeni, anataka urais upi!?

Je, anataka Urais wa kuvunja Muungano au anataka Urais wa Serikali mbili ambazo hakubaliani nazo au anataka Urais wa Tanganyika isiyokuwepo?

Muulizeni Lissu anataka urais upi? Kama hatoi majibu tunajua kuwa hatufai ktk nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano. Hatuwezi kumpatia mtu urais asiouamini.

Wako wafuasi wake wanasema Lissu ni muumini wa Muungano wa Sarikali tatu zenye mfumo wa shirikisho. Sawa, hiyo ni hoja ya msingi mtu kuamini anachodhani ndio sahihi kwake.

Hoja yangu, ikiwa Lissu anaamini katika Muungano wa Serikali tatu (shirikisho) na haamini ktk mfumo wa Serikali mbili wa sasa, Lissu awaeleze Watanzania kwamba ktk uchaguzi huu anagombea Urais upi.

Unaweza kujenga hoja kuwa Lissu anagombea urais wa Muungano wa Serikali mbili ili akiwa Rais afanye marekebisho ya Muungano kutoka Serikali mbili za sasa kwenda tatu. Sawa!

Tukikubaliana hivyo maana yake, Lissu anaomba Urais ili akavunje Muungano wetu na kuleta wa kwake. Rais anaeomba kwenda Ikulu na Muungano wake hatufai, tusimchague.

Maswali ni mengi. Hakuna mtu anaweza kuyajibu maswali haya tofauti na Lissu mwenyewe! Madhali tunatafuta Rais wa Jamhuri ya Muungano, Lissu awaeleze Watanzania msimamo wake katika Muungano wetu. Kama haelezi nafasi yake na msimamo wake katika Muungano, tunajua HATUFAI!

Msimamo wa Mgombea wa CCM na CCM juu ya Muungano uko wazi, Muungano ni agenda ya muhimu ya CCM ktk kuulinda na kuuboresha kadili ya mahitaji na wakati.

Rais anayeona aibu kusimamia Muungano wetu, umoja, utangamano na mshikamano wetu, Rais asieweza kueleza hadharani msimamo wake juu ya uhusiano wetu Bara na Visiwani hawezi kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano, HATUFAI!
#MitanoTenaYaMuungano!!
MenukaJr.
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
26,296
2,000
Tundu Lissu sio muumini wa Muungano wa Serikali mbili,
Chadema sio waumini wa Muungano wa Serikali mbili,
Muulizeni Lissu anataka kuwa Rais wa Muungano upi??

Ni hivi; tunatafuta Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao Lissu na Chadema hawautambui, wanasema ni batiri, unaopaswa kuvunjika haraka sana.

Lissu akija kuomba kura kwenu Zanzibar muulizeni, anataka tumchague awe rais wa Muungano upi? Je, anataka kuwa Rais wa Tanganyika anayoiamini isiyokuwepo? Muulizeni kwa sababu ni haki yenu kutambua msimamo wa Rais wenu ktk Muungano kabla ya kumchagua.

Akizungumza Bungeni mwaka 2014 katika Bunge Maalumu la Katiba, Tundu Lissu alisema kuwa HATI ya Muungano haipo na haijawahi kuwepo. Ilipotolewa HATI hadharani bado alisisitiza kuwa ni HATI feki kwa sababu haijulikani na wananchi.

Kwa maneno haya Lissu hatambui kabisa uwepo wa Muungano kwa kuwa HATI ndio chapisho linatambulisha Muungano kisheria.
Mme asietambua cheti cha ndoa ndio haitambui ndoa yenyewe, muulizeni Lissu akiwa rais wa Muungano anakwenda kusimamia Muungano upi?

Muulizeni, kwa kuwa hati ya Muungano ni nyaraka inayotunzwa ktk ofisi ya Rais wa Muungano, yeye haitambui kwa sababu ni feki kama alivyisema, sasa endapo atakua Rais atachukua hatua gani!?
Je, ataendelea kuhifadhi nyaraka feki au ataichana vipande na vipande na kuitupa baharini? Muulizeni.

Akizungumza katika kipindi cha mikasi cha Salama Jabir, mwaka 2016 Lissu alirudia kauli yake kuwa hakubalinani na Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Jamhuri ya Muungano wa Tanzania). Akasema kuwa, ktk mambo ambayo Mwalimu Nyerere alikosea sana ni hili la Muungano.

Lissu akaongeza kuwa watu wenye akili timamu sasa wanapaswa kujadili namna ya kuuvunja Muungano. Kwa kuamini kuwa Lissu ana akili timamu ndio kuamini kuwa Lissu anatamani kuuvunja muungano!
Muulizeni, anataka urais upi!?

Je, anataka Urais wa kuvunja Muungano?

Au,

Anataka Urais wa Serikali mbili ambazo hakubaliani nazo?

Au;

Anataka Urais wa Tanganyika isiyokuwepo?

Muulizeni Lissu anataka urais upi?

Kama hatoi majibu tunajua kuwa hatufai ktk nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano. Hatuwezi kumpatia mtu urais asiouamini.

Wako wafuasi wake wanasema Lissu ni muumini wa Muungano wa Sarikali tatu zenye mfumo wa shirikisho. Sawa, hiyo ni hoja ya msingi mtu kuamini anachodhani ndio sahihi kwake.

Hoja yangu, ikiwa Lissu anaamini katika Muungano wa Serikali tatu (shirikisho) na haamini ktk mfumo wa Serikali mbili wa sasa, Lissu awaeleze Watanzania kwamba ktk uchaguzi huu anagombea Urais upi.

Unaweza kujenga hoja kuwa Lissu anagombea urais wa Muungano wa Serikali mbili ili akiwa Rais afanye marekebisho ya Muungano kutoka Serikali mbili za sasa kwenda tatu. Sawa!

Tukikubaliana hivyo maana yake, Lissu anaomba Urais ili akavunje Muungano wetu na kuleta wa kwake. Rais anaeomba kwenda Ikulu na Muungano wake hatufai, tusimchague.

Maswali ni mengi. Hakuna mtu anaweza kuyajibu maswali haya tofauti na Lissu mwenyewe!
Madhari tunatafuta Rais wa Jamhuri ya Muungano, Lissu awaeleze Watanzania msimamo wake katika Muungano wetu. Kama haelezi nafasi yake na msimamo wake katika Muungano, tunajua HATUFAI!

Msimamo wa Mgombea wa CCM na CCM juu ya Muungano uko wazi, Muungano ni agenda ya muhimu ya CCM ktk kuulinda na kuuboresha kadili ya mahitaji na wakati.

Rais anayeona aibu kusimamia Muungano wetu, umoja, utangamano na mshikamano wetu, Rais asieweza kueleza hadharani msimamo wake juu ya uhusiano wetu Bara na Visiwani hawezi kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano, HATUFAI!
#MitanoTenaYaMuungano!!
MenukaJr.
Rubbish, what is Muungano. Ikibidi tuwe na Tanganyika yetu, wawe na Zanzibar yao kama Mungano wenyewe ni kushenZi kama huu
 
Gavana

JF-Expert Member
Jul 19, 2008
28,495
2,000
Tundu Lissu sio muumini wa Muungano wa Serikali mbili. CHADEMA sio waumini wa Muungano wa Serikali mbili. Muulizeni Lissu anataka kuwa Rais wa Muungano upi??

Ni hivi; tunatafuta Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao Lissu na CHADEMA hawautambui, wanasema ni batili, unaopaswa kuvunjika haraka sana.

Lissu akija kuomba kura kwenu Zanzibar muulizeni, anataka tumchague awe Rais wa Muungano upi? Je, anataka kuwa Rais wa Tanganyika anayoiamini isiyokuwepo? Muulizeni kwa sababu ni haki yenu kutambua msimamo wa Rais wenu ktk Muungano kabla ya kumchagua.

Akizungumza Bungeni mwaka 2014 katika Bunge Maalumu la Katiba, Tundu Lissu alisema kuwa HATI ya Muungano haipo na haijawahi kuwepo. Ilipotolewa HATI hadharani bado alisisitiza kuwa ni HATI feki kwa sababu haijulikani na wananchi.

Kwa maneno haya Lissu hatambui kabisa uwepo wa Muungano kwa kuwa HATI ndio chapisho linatambulisha Muungano kisheria.
Mme asietambua cheti cha ndoa ndio haitambui ndoa yenyewe, muulizeni Lissu akiwa rais wa Muungano anakwenda kusimamia Muungano upi?

Muulizeni, kwa kuwa hati ya Muungano ni nyaraka inayotunzwa ktk ofisi ya Rais wa Muungano, yeye haitambui kwa sababu ni feki kama alivyisema, sasa endapo atakua Rais atachukua hatua gani!? Je, ataendelea kuhifadhi nyaraka feki au ataichana vipande na vipande na kuitupa baharini? Muulizeni.

Akizungumza katika kipindi cha mikasi cha Salama Jabir, mwaka 2016 Lissu alirudia kauli yake kuwa hakubalinani na Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Jamhuri ya Muungano wa Tanzania). Akasema kuwa, ktk mambo ambayo Mwalimu Nyerere alikosea sana ni hili la Muungano.

Lissu akaongeza kuwa watu wenye akili timamu sasa wanapaswa kujadili namna ya kuuvunja Muungano. Kwa kuamini kuwa Lissu ana akili timamu ndio kuamini kuwa Lissu anatamani kuuvunja muungano!
Muulizeni, anataka urais upi!?

Je, anataka Urais wa kuvunja Muungano au anataka Urais wa Serikali mbili ambazo hakubaliani nazo au anataka Urais wa Tanganyika isiyokuwepo?

Muulizeni Lissu anataka urais upi? Kama hatoi majibu tunajua kuwa hatufai ktk nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano. Hatuwezi kumpatia mtu urais asiouamini.

Wako wafuasi wake wanasema Lissu ni muumini wa Muungano wa Sarikali tatu zenye mfumo wa shirikisho. Sawa, hiyo ni hoja ya msingi mtu kuamini anachodhani ndio sahihi kwake.

Hoja yangu, ikiwa Lissu anaamini katika Muungano wa Serikali tatu (shirikisho) na haamini ktk mfumo wa Serikali mbili wa sasa, Lissu awaeleze Watanzania kwamba ktk uchaguzi huu anagombea Urais upi.

Unaweza kujenga hoja kuwa Lissu anagombea urais wa Muungano wa Serikali mbili ili akiwa Rais afanye marekebisho ya Muungano kutoka Serikali mbili za sasa kwenda tatu. Sawa!

Tukikubaliana hivyo maana yake, Lissu anaomba Urais ili akavunje Muungano wetu na kuleta wa kwake. Rais anaeomba kwenda Ikulu na Muungano wake hatufai, tusimchague.

Maswali ni mengi. Hakuna mtu anaweza kuyajibu maswali haya tofauti na Lissu mwenyewe! Madhali tunatafuta Rais wa Jamhuri ya Muungano, Lissu awaeleze Watanzania msimamo wake katika Muungano wetu. Kama haelezi nafasi yake na msimamo wake katika Muungano, tunajua HATUFAI!

Msimamo wa Mgombea wa CCM na CCM juu ya Muungano uko wazi, Muungano ni agenda ya muhimu ya CCM ktk kuulinda na kuuboresha kadili ya mahitaji na wakati.

Rais anayeona aibu kusimamia Muungano wetu, umoja, utangamano na mshikamano wetu, Rais asieweza kueleza hadharani msimamo wake juu ya uhusiano wetu Bara na Visiwani hawezi kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano, HATUFAI!
#MitanoTenaYaMuungano!!
MenukaJr.

TUNATAKA MUUNGANO WA KUMTOA MAGUFULI NA CCM YAKE KWANZA , Mengine yatafuatia baadaye .

Unatapa tapa kama vile hujui Kikwete aliunda bunge la Katiba na Jaji Warioba katika ile tume yake alipendekeza kitu gani ??
 
CAPO DELGADO

JF-Expert Member
Aug 31, 2020
1,135
2,000
Tundu Lissu the Greatest.

Hamlali mnamuwaza Lissu,kachukue buku saba haraka mitaa ya Lumumba.

#NI YEYE 2020
 
NTWA MWIKEMO

JF-Expert Member
Oct 7, 2014
737
500
Tundu Lissu sio muumini wa Muungano wa Serikali mbili. CHADEMA sio waumini wa Muungano wa Serikali mbili. Muulizeni Lissu anataka kuwa Rais wa Muungano upi??

Ni hivi; tunatafuta Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao Lissu na CHADEMA hawautambui, wanasema ni batili, unaopaswa kuvunjika haraka sana.

Lissu akija kuomba kura kwenu Zanzibar muulizeni, anataka tumchague awe Rais wa Muungano upi? Je, anataka kuwa Rais wa Tanganyika anayoiamini isiyokuwepo? Muulizeni kwa sababu ni haki yenu kutambua msimamo wa Rais wenu ktk Muungano kabla ya kumchagua.

Akizungumza Bungeni mwaka 2014 katika Bunge Maalumu la Katiba, Tundu Lissu alisema kuwa HATI ya Muungano haipo na haijawahi kuwepo. Ilipotolewa HATI hadharani bado alisisitiza kuwa ni HATI feki kwa sababu haijulikani na wananchi.

Kwa maneno haya Lissu hatambui kabisa uwepo wa Muungano kwa kuwa HATI ndio chapisho linatambulisha Muungano kisheria.
Mme asietambua cheti cha ndoa ndio haitambui ndoa yenyewe, muulizeni Lissu akiwa rais wa Muungano anakwenda kusimamia Muungano upi?

Muulizeni, kwa kuwa hati ya Muungano ni nyaraka inayotunzwa ktk ofisi ya Rais wa Muungano, yeye haitambui kwa sababu ni feki kama alivyisema, sasa endapo atakua Rais atachukua hatua gani!? Je, ataendelea kuhifadhi nyaraka feki au ataichana vipande na vipande na kuitupa baharini? Muulizeni.

Akizungumza katika kipindi cha mikasi cha Salama Jabir, mwaka 2016 Lissu alirudia kauli yake kuwa hakubalinani na Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Jamhuri ya Muungano wa Tanzania). Akasema kuwa, ktk mambo ambayo Mwalimu Nyerere alikosea sana ni hili la Muungano.

Lissu akaongeza kuwa watu wenye akili timamu sasa wanapaswa kujadili namna ya kuuvunja Muungano. Kwa kuamini kuwa Lissu ana akili timamu ndio kuamini kuwa Lissu anatamani kuuvunja muungano!
Muulizeni, anataka urais upi!?

Je, anataka Urais wa kuvunja Muungano au anataka Urais wa Serikali mbili ambazo hakubaliani nazo au anataka Urais wa Tanganyika isiyokuwepo?

Muulizeni Lissu anataka urais upi? Kama hatoi majibu tunajua kuwa hatufai ktk nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano. Hatuwezi kumpatia mtu urais asiouamini.

Wako wafuasi wake wanasema Lissu ni muumini wa Muungano wa Sarikali tatu zenye mfumo wa shirikisho. Sawa, hiyo ni hoja ya msingi mtu kuamini anachodhani ndio sahihi kwake.

Hoja yangu, ikiwa Lissu anaamini katika Muungano wa Serikali tatu (shirikisho) na haamini ktk mfumo wa Serikali mbili wa sasa, Lissu awaeleze Watanzania kwamba ktk uchaguzi huu anagombea Urais upi.

Unaweza kujenga hoja kuwa Lissu anagombea urais wa Muungano wa Serikali mbili ili akiwa Rais afanye marekebisho ya Muungano kutoka Serikali mbili za sasa kwenda tatu. Sawa!

Tukikubaliana hivyo maana yake, Lissu anaomba Urais ili akavunje Muungano wetu na kuleta wa kwake. Rais anaeomba kwenda Ikulu na Muungano wake hatufai, tusimchague.

Maswali ni mengi. Hakuna mtu anaweza kuyajibu maswali haya tofauti na Lissu mwenyewe! Madhali tunatafuta Rais wa Jamhuri ya Muungano, Lissu awaeleze Watanzania msimamo wake katika Muungano wetu. Kama haelezi nafasi yake na msimamo wake katika Muungano, tunajua HATUFAI!

Msimamo wa Mgombea wa CCM na CCM juu ya Muungano uko wazi, Muungano ni agenda ya muhimu ya CCM ktk kuulinda na kuuboresha kadili ya mahitaji na wakati.

Rais anayeona aibu kusimamia Muungano wetu, umoja, utangamano na mshikamano wetu, Rais asieweza kueleza hadharani msimamo wake juu ya uhusiano wetu Bara na Visiwani hawezi kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano, HATUFAI!
#MitanoTenaYaMuungano!!
MenukaJr.
Jamani Chadema yamewakuta wamempitisha remote control
 
Hatulitaki HILI TAPELI
 
Attachments

  • File size
    2.5 MB
    Views
    0

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom