Search results

  1. J

    Polisi: Usinunue simu kwa mtu usiyemjua

    asante sana "mwenye masikio na asikie"
  2. J

    Natafuta Rafiki wa kiume

    basi tueleze sababu ya kukataa hayo makabila
  3. J

    Ushauri: Mtaji wa mil 2 na return ya faida elfu ishirini kwa siku

    nawashukuru sana tena sana maana kupitia uzi huu nimejifunza mengi kwa kupitia kwa kina kila idea iliyotolewa. thank's
  4. J

    Ushauri: Mtaji wa mil 2 na return ya faida elfu ishirini kwa siku

    asanten wadau mlio changia hapa na mlio pm pesa nimeiweka kwenye biashara ya ndg yangu kwa return ya sh 10000 kwa siku
  5. J

    Picha chafu lizimfanya Rihanna kuwa hatiani kufungiwa Account na kushitakiwa

    huyu si alimuambukiza gono Criss Brown huyu bado hajapona tu..
  6. J

    Hoja ya bibi imenimaliza, haijibiki

    umenena vyema maana haya majiko ya kileo. majangaaa.!!!!!
  7. J

    Sababu Kumi Kwa Nini Ni Muhimu Sana Wewe Kuwa Tajiri

    maisha hayana formula. mola kamjalia kila mja na fungu lake.
  8. J

    Ushauri: Mtaji wa mil 2 na return ya faida elfu ishirini kwa siku

    hello JF nina hicho kiasi na ninataka faida ya angalau buku 20 kwa siku kama faida mradi gani utafaa..?
  9. J

    Maajabu yaliyotokea Chalinze!

    ninge comment lakini na mimi naogopa kufungwa..
  10. J

    Kuvua samaki Ziwa Victoria

    amu unataka kuvua samaki na kuuza kwa mawakala au kuuza mwenyewe kiwandani..? kama ni kiwandani ongeza mtaji hautoshi
  11. J

    Ufafanuzi na Mchanganuo Kuhusu Biashara ya Vipodozi na Urembo

    Kwa kuongezea kuwa makini sana na vipodozi fake jamaa wa TFDA wasije kukumaliza. Kila la kheri mkuu.
  12. J

    Kilicho mtokea huyu mdada kuwa mwangalifu!

    shukuru mungu mmejua mapema otherwise dogo angefundishwa hadi anal sex si walikua wanatizama porn. hapo ndio mngejuta.!
  13. J

    Kilicho mtokea huyu mdada kuwa mwangalifu!

    shukuru mungu mmejua mapema otherwise dogo angefundishwa hadi anal sex si walikua wanatizama porn. hapo ndio mngejuta.!
  14. J

    Msaada :TECNO P 3 nikipigiwa eti Namba Busy!!!!

    mwambie afute namba alizo save kwenye orodha ya waliozuiliwa "blacklist numbers"
  15. J

    Malaysian Prime Minister: Flight M 370 Malaysia Plane Crashed Into Indian Ocean

    najiuza swali moja tu na wadau mnaojua hili mnijuze je ndege hiyo ilikuwa na mafuta ya kutosha kuifikisha ilipoangukia?
  16. J

    Ipigwe kura ya SIRI kuamua matumizi ya kura ya SIRI au wazi

    halafu tutasema ipigwe kura ya wazi kwanza ili kuamua ipigwe kura ya siri kujua itumike kura ya wazi au ya siri bungeni
  17. J

    Mkoko mpya wa Agnes Masogange

    watoto wa darisalama kwa kushobokea magari..! hapo usikute anaogea choo cha nje na U.T.I juu
Back
Top Bottom