Search results

  1. S

    Suppliers wanahitajika

    Salaam Inahitajika haraka Madini ya chuma,shaba, lithiamu, risasi ya zinki. Muhimu Umesajiliwa Brela Unalipa kodi Una lessening ya biashara Uthibitisho wa uwezo wako wa ku supply Nipigie 0784899244 Greetings. Urgent needed in large quantities iron ore, copper ore, lithium ore, lead...
  2. S

    Uraibu wa pombe na dawa za kulevya

    Je Mimi Ni mraibu Hili linaweza lisiwe jambo rahisi kufanya. Katika kipindi chetu chote cha utumiaji, tulijiambia, “naweza kuhimili.” Hata kama hili lilikuwa kweli mwanzoni, sio hivyo sasa. Mihadharati ilitutawala sisi. Tuliishi kutumia na tulitumia ili tuishi. Kwa ufupi, mraibu ni...
  3. S

    Uraibu wa pombe na dawa za kulevya

    Je Mimi Ni mraibu Hili linaweza lisiwe jambo rahisi kufanya. Katika kipindi chetu chote cha utumiaji, tulijiambia, “naweza kuhimili.” Hata kama hili lilikuwa kweli mwanzoni, sio hivyo sasa. Mihadharati ilitutawala sisi. Tuliishi kutumia na tulitumia ili tuishi. Kwa ufupi, mraibu ni mtu ambaye...
  4. S

    Matumizi ya pombe na dawa za kulevya

    Shalom wapendwa Kumekwa na ongezeeko kubwa la Watoto wa wachungaji na maaskofu kuharibikiwa kutokana na utumiaji wa mihadarati na ulevi wa kupindukia. Hii inatokana na vita kali ya Shetani ili kudhoofisha nguvu ya Kanisa. Utumiaji wa dawa za kulevya na Pombe kupita kiasi huja na dalili...
  5. S

    Makundi matatu ya watumiaji wa MADAWA YA KULEVYA na je, mtumiaji anaweza kupona?

    Salaam, Kumekwa na ongezeeko kubwa la vijana wetu kuharibikiwa kutokana na utumiaji wa mihadarati na ulevi wa kupindukia. Hii inatokana na changamoto za kimaisha kama vile kuvunjika kwa ndoa wakati wa utotoni, Malezi ya mzazi mmoja, Kufiwa katika umri mdogo, Kunyanyaswa hasa kunyanyaswa...
  6. S

    Ukihusika na dawa za kulevya Zanzibar kifungo cha maisha jela

    Salaam, Kumekwa na ongezeeko kubwa la vijana wetu kuharibikiwa kutokana na utumiaji wa mihadarati na ulevi wa kupindukia. Hii inatokana na changamoto za kimaisha kama vile kuvunjika kwa ndoa wakati wa utotoni, Malezi ya mzazi mmoja, Kufiwa katika umri mdogo, Kunyanyaswa hasa kunyanyaswa...
  7. S

    Nahitaji nyumba ya kupanga

    Saws mkuu
  8. S

    TAHADHARI: Kuna matapeli! Fuata taratibu hizi...

    Salaam Naunga mkono Tangazo hili ni kweli baadhi ya watu sio waaminifu katika kufanya baishara Ushauii Endapo unafanya Biashara mtandaoni Tafadhali fanya yafuatayo: Tambua Jina halisi la Muuzaji ikiwezekana muombe nakala ya kitambulisho cha taifa au uthibitisho wowote halali kuwa ni yeye...
  9. S

    Nahitaji nyumba ya kupanga

    Salaam wana Jamii Forums Nina uhitaji sana wa nyumba ya kupanga Eneo la Uzunguni, Kisiwani, Vjibweni Vyumba viwili na sitting room kimoja au vyote viwe Master iwe ndani ya uzio Kuwepo na Maji na umeme Umbali kutka barabarani usizidi 1 kilometer Bajeti yangu ni laki 2 kwa mwezi fungu...
  10. S

    Natafuta kazi ya Udaktari

    Check na TUME YA KIKRISTO YA HUDUMA ZA JAMII wanaratibu hospital, Vituo vya Afya, na Zahanati za madhehebu ya CCT na TEC mkuu
  11. S

    Job vacancies at SOTEC Co Ltd Dodoma

    Ni kweli! Ofisi zimehamia barabara ya sita Nyuma ya Benk ya NMB kuna Ghorofa ya Pink floor ya nne
  12. S

    Job vacancies at SOTEC Co Ltd Dodoma

    About Softbridge Technologies and Consultancy (SOTEC) Softbridge Technologies and Consultancy (SOTEC) is a Private Information and Communication (ICT) Company, which was registered on 01st June, 2009, by Business Registrations and Licensing Agency (BRELA) under Business Names Act (Cap 213). we...
  13. S

    Lugha Gongana

    Hii sio sahihi, Kama na wewe una neno ambalo sio sahihi tafadhali tujulishe pia 1 Chips mayai = Viazi na mayai 2 Shule ya Sekondari = Shule ya upili 3 Tochi= Kurunzi 4 Dingi = Baba 6 Kompyuta = Tanakirishi 7 Shelli= Kituo cha mafuta 8 Saluni 9 Simu = Kilonga Longa 10 Tivii= Runinga 12 Stendi=...
  14. S

    Post traumatic stress disorder (PTSD)

    POST TRAUMATIC STRESS DISORDER (PTSD) Overview Post-traumatic stress disorder (PTSD) is a mental health condition that's triggered by a terrifying event — either experiencing it or witnessing it. Symptoms may include flashbacks, nightmares and severe anxiety, as well as uncontrollable thoughts...
  15. S

    Hivi kwanini ni ngumu kuacha madawa ya kulevya?

    Salaam Dejavu Naitwa Sam Nimefurahi sana kwa swali lako zuri ambalo sio wewe tu ambaye umekuwa ukijiuliza sana swali hili "Kwa nini mateja sio rahisi kuacha kutumia dawa za kulevya?" Majibu ni haya Uraibu Kama unavyofahamika pia kama Uteja ni ugonjwa unaotokana na mabadiliko katika neva za...
  16. S

    Uraibu (addiction)

    Karibu sana
Back
Top Bottom