Search results

  1. willy ze great

    Msaada natafuta remote ya JVC

    Ndugu zangu habarini za jioni, Naomba mnipe connection wap nitapata remote ya jvc model 43c862
  2. willy ze great

    Napitia changamoto kazi mpya

    Ndugu zangu naombeni ushauri hata mwezi sina kazin ila niliowakuta kazini tumetokea kutofautiana kimtazamo na maono sasa imekua kama vita kazini kila kazi wanataka mimi nifanye eti kisa mimi ni Engineer. Kazi nilipata kwa interview nikaambiwa mafundi wapo wazoefu tu ila hawana plan ya kazi so...
  3. willy ze great

    Usafi tanzania company na maajabu yake

    Ndugu wanajamii forum baada kuchoka kuajiliwa nimeona nijiajili mwenyewe na kampuni yangu mpya ya usafi, napenda kutambulisha kampuni yangu mpya iitwayo usafitz company , kampuni hii inahusika na huduma zifuatazo;- 1. Usafi wa seat za gari kwa kutumia sabuni safi na machine maalum ya usafi iwe...
  4. willy ze great

    Msaada biashara ya vifaa vya umeme

    Ndugu zangu nataka nifungue duka la vifaa vya umeme mbeya chunya, mwenye uzoefu na hii biashara anipe ABC Taa za ndani Flexible wire Switch socket Extension Taa za nje Etc
  5. willy ze great

    Natafuta ball-mill used

    Natafuta ballmill used liwe na uwezo wa kusaga kuanzia tonne 5 kwa saa
  6. willy ze great

    Brand nyingi za TV za Bongo ni fake

    Kuna brand nyingi tz lakini ukisearch hata google haitambuliki, hawana official website hata weekpedia hawapo je tv hizi ni fake, mfano ni bravo, aboder, mr uk, goodvision, sundar, alitop
  7. willy ze great

    Electrician post

    Nafasi ya kazi fundi umeme wa viwandani anahitajika kituo cha kazi chunya CARBON IN PULP PLANT 0762165498 mshahara 500000 unalala na kula hapahapa
  8. willy ze great

    INAUZWA Nauza Godoro Comfy 5 * 6 inch 8

    Jamaaan nina shida sana hio hela godoro inch 8 kwa laki tu niende kufanya interview Godoro Comfy 5 * 6 inch 8 limetumika miezi nane tu bei tsh 120,000 Bei imeshuka 100,000 0762165498 0778444669 Liko Mabibo karibu na soko la Engo
  9. willy ze great

    Shaffih Dauda vs C.E.O Babra, simba tukatae huu upuuzi

    Ona jinsi alivyomuattack barba. Huja jamaa ndo wale madalali njaa " Endelea hapa "Kuna shida kwa Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba pengine labda ninyi hamjaigundua, Mtendaji Mkuu na karibia panel yake wana changamoto ya kuhitaji zaidi camera 'publicity' kuliko mambo muhimu Niwaambie tu kwa...
  10. willy ze great

    Samsung s6 edge inauzwa

    Ram 3gb Rom 32gb NETWORKTechnologyGSM / HSPA / LTE BODY Dimensions142.1 x 70.1 x 7 mm (5.59 x 2.76 x 0.28 in) Weight132 g (4.66 oz)BuildGlass front (Gorilla Glass 4), glass back (Gorilla Glass 4), aluminum frame SIMNano-SIM Samsung Pay (Visa, MasterCard certified) DISPLAYTypeSuper...
  11. willy ze great

    Unic projector for sake

    Almost New 200,000 Tsh. Unic uc26 complete full boxed. Key Features Brightness: 1200 Lumens (International) equivalent to 120 Lumens (US) Native Resolution : 800*480P | Contrast: 800:1 | Image size 36-130 Inches Portable Design, Easy To Take And Travel Connect your PC/Laptop/DVD Player to...
  12. willy ze great

    Timu za libya zaondolewa club bigwa africa na shirikisho

    Hizi ni taarifa nzuri kwa timu ya utopolo ni baada ya jana CAF kuziondoa timu za libya kwenye clab bingwa Africa na kombe la shirikisho kutokana na ligi hiyo kusimama kwa misimu miwili hivo ni wazi sasa tanzania wenye point 14 tukachukua nafasi ya libya. Football clubs in Libya have been...
  13. willy ze great

    kitanda 5 * 6 kinauzwa

    Bei 200,000 Kipo Mabibo 0762165498
  14. willy ze great

    Huawei P8

    Nauza huawei P 8 almost new 350000 0762165498
  15. willy ze great

    Nile Water Agreement (1929)

    Huu mkataba uliosainiwa na serikali za kikoloni . Je kuna haja ya kuuvunja? Nimekua nikijiuliza kwa muda mrefu kwanini hatutumii ziwa victoria kwa umwagiliaji lakini huko misri wanatumia kwa kila kitu na wanategemea 100% ya maisha mto nile ambayo chanzo chake ni ziwa victoria na kuzalisha umeme...
  16. willy ze great

    Mwinyi zahera ni scout na spy wa timu za D.R congo

    Tokea mwinyi aje hapa bongo kufundisha club ya yanga tunaona club ya tp mazembe ikisajili vipaji vya tz hivo nafikiri mwinyi zahera is behind the scene. Pia wanasimba walimtuhum kuwaspy kwenye masindano ya club binga dhidi ya as vita na tp mazembe na simba kuchezea kipigo kitakatifu toka kwa...
  17. willy ze great

    Damu mimba wiki ya 11

    Mke wangu ana mimba ya week 11, jana nimemaliza show nilipiga ya kibabe asubuhi akasema ameona matone ya damu Sasa jioni pia imeendelea kutoka, roho inaniuma sana ndo tunapoteza kiumbe chetu daah inaniuma sana wakuu ndo alikuwa wa kwanza huyo. Pili anasema hasikii maumivu yoyote yale ila damu...
  18. willy ze great

    Taifa stars squad na uongo wa umri

    1.Mbwana samata - 26 halisi 30 2. Simon msuva - 25 halisi 28 3. Ulimwengu -26 halisi 28 4. Ibrahim ajib -22 halisi 31 5. Jogn bocco -29 halisi 34 6. Farid mussa - 22 halisi 27 7. Himid mao -26 halisi 33 8. Mdathir yahya - 24 halisi 30 9. Gadeiel michael -22 halisi 27 Wafuatao ndo wanaumri sahihi...
  19. willy ze great

    Amana Bank

    Habari zenu wakuu naomba msaada kuhusu hii bank. Kuna mtu kanambia hii bank inatoa mkopo bila kutozwa riba, yaan nikope 1 million after one year ntarudisha 1 million. Mimi nikamuuliza kama wanafanya hivo je hawajiendeshi kwa hasara? Maana kuna gharama mbalimbali na kodi za serikali, mishahara...
  20. willy ze great

    Wale wanaotaka kazi kupitia jf

    Wakuu hili jukwaa ni la ajira na kazi sikatai, lakin kuna hii tabia members kuanzisha thread hovyo hovyo eti nataka kazi sijui nina diploma ya civil, procurement mara degree ya telecom etc ni ujinga tena kwa msomi kama wewe. Hivi unafikiri kuna watu wangapi wesoma kama wewe na wanatafuta kazi...
Back
Top Bottom