Damu mimba wiki ya 11

willy ze great

JF-Expert Member
Apr 30, 2013
1,026
1,179
Mke wangu ana mimba ya week 11, jana nimemaliza show nilipiga ya kibabe asubuhi akasema ameona matone ya damu

Sasa jioni pia imeendelea kutoka, roho inaniuma sana ndo tunapoteza kiumbe chetu daah inaniuma sana wakuu ndo alikuwa wa kwanza huyo.

Pili anasema hasikii maumivu yoyote yale ila damu ni nyepesi na sio mabonge mabonge.

Msaada ushauri jamani nataka kesho twende hospitali

Mrejesho
Mimba bado ipo ila doctor kanambia asifanye kazi ngumu kubeba maji nk na pia hardcore kasema sio nzuri kwenywe mimba changa
 
Mpeleke hospitali mapema usije ukamsababishia matatizo makubwa zaidi, hafu jitahidi kupima RH factor
Mke wangu anamimba ya week 11 jana nimemaliza show nilipiga ya kibabe asubuhi akasema ameona matone ya damu, sasa jioni pia imeendelea kutoka, roho inaniuma sana ndo tunapoteza kiumbe chetu daah inaniuma sana wakuu ndo alikua wa kwanza huyoo. Pili anasema hasikii maumivu yoyote yale ila damu ni nyepesi na sio mabonge mabonge. Msaada ushauri jamaaan nataka kesho twende hospitali
 
Mchokozi huyo mtoto
Kila la kheri katika hiyo hatua....
hahahaha ila so mchezo Mungu anisaidie nivuke salama hapa nijifungue salama Yan am in love na kiumbe ambacho hata sura yake siijui

Aamyn inshallah Allah atafanya wepesi.
 
Hiyo ni mimba yenyewe ndiyo itakuwa imekuja kihivyo.wengine wakiwa na ujauzito wanapenda sana kupigwa mabao ya grade one.so mshikaji alikuwa anakata kitu ya mama mjamzito
mh ila mume alipaswa kujua mwenzie hayuko Kama mwanzo wangefanya kwa afya
 
hahahaha ila so mchezo Mungu anisaidie nivuke salama hapa nijifungue salama Yan am in love na kiumbe ambacho hata sura yake siijui

Aamyn inshallah Allah atafanya wepesi.
Mimi nasubiri tu nije nimteke huyo mtoto kwa kunipenda, mimi ni kinara wa kupendwa na kupenda watoto sijui kwa nini...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom