willy ze great
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 1,026
- 1,179
Ona jinsi alivyomuattack barba. Huja jamaa ndo wale madalali njaaView attachment 1766239View attachment 1766240View attachment 1766241
"
Endelea hapa
"Kuna shida kwa Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba pengine labda ninyi hamjaigundua, Mtendaji Mkuu na karibia panel yake wana changamoto ya kuhitaji zaidi camera 'publicity' kuliko mambo muhimu
Niwaambie tu kwa tafiti ndogo sana niliyofanya, CEO wa Simba tangu aingie wameitisha press conference nyingi zaidi kwa ngazi ya klabu Afrika Mashariki, kwenye hotel tofauti tofauti
Kwa tafiti ndogo niliyofanya CEO wa Simba ndie anaongoza kwa kuonekana kwa public kuliko CEO mwingine yoyote Afrika Mashariki na kati pamoja na Kusini mwa Jangwa la Sahara
Sasa kwenye hizi show offs zote zinazofanyika, sote tukiamini Simba ipo extra miles ila mikataba ya wachezaji zaidi ya 7 waandamizi inaisha mwishoni mwa msimu, lakini CEO sidhani kama alifuatilia kiundani kuweka sawa
Walichoweza kufanya ni kumpa mkataba Chama wa maana, Luis Miquissone wa maana kwakuwa hawa ni prominent figures na wakishafanya hivyo wataingia on trending ila wakasahau kuna wachezaji wazawa wa muhimu na wanafanya kazi kubwa
Leo hii CEO yupo busy ila EMAIL za klabu kutoka FIFA na CAF, hazisomwi eti! Lakini hakuna anaejali mpaka watoke watu nje ya Simba kuwakumbusha? Ndio utaratibu huu? Ndio namna hii timu inaendeshwa? Hizi presha mlizitaka wenyewe kuwaza show offs kuliko utendaji
Kaeni chini mkumbusheni CEO kuwa hiyo nafasi ni ya UTENDAJI, sio kama nafasi ya Kisiasa, mwambieni Mato Madlala ni CEO wa PSL ila sio show offs nyingi ila kazi zinakwenda, CEO wa AZAM ni mfano mwingine au CEO wa bodi ya Ligi Bwana Kasongo
JIEPUSHENI NA PROPANGA, KOMAENI NA UTENDAJI"