Search results

  1. Aadilu

    Tuache kuita magari ya zamani New Model

    Et Toyota Noah ya mwka 2004 inaitwa New model kweli? Mambo ya ajabu haya
  2. Aadilu

    Njia rahisi ya kutuma Fedha kutoka South Africa kuja Tanzania

    Habari za majukumu wadau. Niwaulize, Ni ipi njia rahisi ya kutuma fedha kutoka South Africa kuja Tanzania? Imenilazimu kuuliza hivi kwa sababu kulingana na shughuli nizifanyazo inanilazimu kupokea kiasi fulani cha fedha mara kwa mara kutoka kwa wadau wenzangu wanaoishi South Africa...
  3. Aadilu

    Njia rahisi ya kutuma Fedha kutoka South kuja Tanzania

    Habari za majukumu wadau. Niwaulize, Ni ipi njia rahisi ya kutuma fedha kutoka South Africa kuja Tanzania? Imenilazimu kuuliza hivi kwa sababu kulingana na shughuli nizifanyazo inanilazimu kupokea kiasi fulani cha fedha mara kwa mara kutoka kwa wadau wenzangu wanaoishi South Africa. Nimejaribu...
  4. Aadilu

    Kijana wangu anatafuta Mchumba...

    Mimi Ayub Muyo, nahitaji mchumba mwenye umri kati ya miaka 19 hadi 31, atakayejali familia ile nini, ivaaje kwa kushirikiana na mimi. Na tutawajali ndugu wa pande zote, Mimi naabudu BWANA MUNGU WA ISRAELI, SDA CHURCH. Vitu ambavyo sili soma walawi Sura ya 11 yote. Sifa zingine na picha...
  5. Aadilu

    Hatimaye Utumishi wamefanyia kazi maoni ya MwanaJamiiForums kuhusu upatikanaji wa salary slip online

    Habari watumishi wa serikali, Je wajua kuwa! unaweza kupata taarifa zako za kiutumishi pamoja na salary slip yako kupitia simu yako ya mkononi? Ni rahisi sana cha kufanya tembelea official website ya utumishi ambayo ni www.utumishi.go.tz ikifunguka angalia kwenye orodha ya menu upande wa...
  6. Aadilu

    Magari tunayonunua ni yale yaliyokwishatumika na Wajapani

    Tunatumia mitandao kama Enhance-auto, Be forward na SBT kununua magari. Mitandao hiyo magari yake mengi ni yale yaliyokwisha tumika Japan na kwingineko kama ulaya na kadhalika. Hivi kuna uwezekano wa sisi wabongo wengi na waafrika kwa ujumla kununua magari yaliyotembea kilometa O, yaani...
  7. Aadilu

    Magari yote yangekuwa Manual transmition kusingekuwa na Foleni nchi nzima

    Hii nimeigundua nilipotaka kuuza gari yangu mpya yenye gia ya manual kwa bei rahisi. Kila aliyeiona aliipenda na katika kuiangalia mtu akiiona kuwa ni manual basi mjadala wa kuuziana ndo unaishia hapo. Hakuna madereva watu wengi wanaogopa gari za manual
  8. Aadilu

    Special Weapons and Tactics Unit

    Nchi imekua kiutandawazi, Tanzania ya leo si ya mwaka 1978, Uhalifu wa kutumia silaha umeongeza, ugaidi ndio kila kukicha utekaji nyara nao unashika kasi, Hivi, tulishawahi kujiuliza yaliyotokea westgate kule Westland Nairobi yakitokea Pale Quality Plaza tutachukua hatua gani. Hivi leo watokee...
  9. Aadilu

    Be forwad tawi la Dar es salaam

    Naombeni mnijuze ninyi wakazi wa dar, nataka kununua Gari Japani kupitia Be forward, Je hilo tawi la dar es salaam linaweza kunifanyia clearing nikaipata gari? Itachukua siku ngapi mpaka gar iwe mikononi mwangu. Je gharama zao kwa gari ndogo kama toyota Brevis inakadiriwa kufika shilingi ngapi...
  10. Aadilu

    Magereza yatoa ufafanuz kuhusu mfungwa wa EPA

    Gazeti la Tanzania Daima la tarehe 23 Januari, 2013 liliandika makala inayosomeka "JK AMNUSURU MFUNGWA WA ERA". Gazeti hilo lilidai mfungwa wa kesi ya ERA Ajay Somani ametolewa gerezani kwa njia ya kutatanisha wakati wafungwa wengine waliokuwa kesi moja wanaendelea kusota gerezani...
  11. Aadilu

    Lie detector test

    Katika Sony Tv inayopatikana katika visimbuzi vya dstv kuna Tv show inaitwa Trisha. Miongoni mwa yanayojadiliwa katika kipindi hicho ni hasa mambo yahusuyo familia kama vile watu kusingiziwa watoto kuwa wa kwao ilhali sio. Usaliti katika ndoa na mambo yanayofanana na hayo. Kilichonifanya...
  12. Aadilu

    Hizi ni dalili za mtoto wa kiume?

    Namshukuru mola wa viumbe wote baada ya kuhangaika sana mke wangu sasa ni mjamzito. Tangu wiki ya kwanza ya ujauzito wake ambao sasa una wiki takribani tisa amekuwa na tabia ya kuwa na mimi karibu sana. kila wakati anataka tukae pamoja. Hataki nitoke, hataki niwatembelee jamaa na marafiki...
  13. Aadilu

    Usipo meza mate una walakini.

    Nani anafaham jina na kazi ya huyu binti?
  14. Aadilu

    Natafuta turntable (record player)

    Mi ni mpenzi sana wa music hasa old schools. Napendelea sana music kutoka afrika na kidogo amerika hasa music wa miaka ya 70's, 80's na 90's. Cha ajabu nafurahi sana music huo nikiusikiliza kupitia turntable (record player) au wengine wanaita grammaphones. kwa yeyote aliyenayo ikiwa nzima pamoja...
Back
Top Bottom