Aadilu
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 645
- 463
Habari za majukumu wadau. Niwaulize, Ni ipi njia rahisi ya kutuma fedha kutoka South Africa kuja Tanzania? Imenilazimu kuuliza hivi kwa sababu kulingana na shughuli nizifanyazo inanilazimu kupokea kiasi fulani cha fedha mara kwa mara kutoka kwa wadau wenzangu wanaoishi South Africa. Nimejaribu kutumia Moneygram gharama zake ni kubwa, walikata karibu nusu ya hela niliyotumiwa, nilipotumiwa fedha kwa njia hiyo kwa mara ya kwanza nilipotumia, Nasubir Msaada wenu