Search results

  1. Amosam

    Dr. Ndodi atoa zawadi ya Nissan Patrol

    Nilikuwa nangalia kipindi cha Mch.Isaack Ndodi wa Haleluya Sanitarian Clinic kinachorushwa na kituo cha televisheni ya Star jumanne 08/09/09. Katika mafundisho yake kuhusu madhara ya ulaji mbovu ambao unasababisha magonjwa mengi katika mwili wa binaadamu,aligusia na kusisitiza kuwa Nyama ya...
  2. Amosam

    Pambanua

    Jamani nimejaribu kulizuia lakini fupa limenishinda kukaa mdomoni kwani kuendelea kuwa nalo linaweza kunikwama hivyo nahitaji ufafanuzi juu ya methali maarufu ya kuswahili isemayo 'KAFIRI AKUFAAE SI MUISLAM HASIYEKUFAA'.Kutokana na maudhui ya methali hii yaonyesha wazi kuwa kuna makundi mawili...
  3. Amosam

    Rostam aanza kutikiswa

    Akutana na kigingi Igunga ZAMA za mbunge wa Igunga, Rostam Aziz kushinda kinyang'anyiro cha ubunge bila kupingwa ndani ya chama chake, sasa zimefikia tamati, imefahamika. Anayejitosa kumaliza himaya ya Rostam ni Deusdedit Mtambalike, mkuu wa wilaya wa zamani na mwanasiasa mwenye msimamo...
  4. Amosam

    Asha Rose Migiro Kutemwa UN?

    Ban Kim-Moon kumtema Asha Rose Migiro? Dr. Asha Rose Migiro Mwanadiplomasia na balozi wa Norway kwenye Umoja wa Mataifa, Bi. Mona Juul ameiandikia wizara ya mambo ya nchi za nje ya Norway, taarifa ya siri jinsi katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Kim-Moon alivyoshindwa kufanya kazi...
  5. Amosam

    Msikiti wa Gaddaf Dodoma washika moto

    Msikiti mkubwa unaojengwa Dodoma kwa hisani na ufadhili wa rais wa Libya kanali Muhammar Gaddaf uliopo karibu kabisa na uwanja wa mpira wa Jamhuri jana ulishika moto na kusababisha umati mkubwa wa watu kukusanyika karibu na msikiti huo.Tukio hilo lilitokea majira ya saa moja usiku mara baada ya...
  6. Amosam

    Jina la balozi wa Japan hapa Tanzania

    Wakubwa shikamooni wadogo hamjambo? Naomba kufahamishwa jina la barozi wa Japan hapa nchini Tanzania pamoja na mahali zilipo ofisi zake. Ahsanteni.
  7. Amosam

    Kifo hakina macho

    Kwa jinsi ambavyo aliyekuwa mbunge wa Tarime kupitia chama cha wakaskazini marehemu CHACHA WANGWE alivyokuwa katika malumbano na watendaji wa chama hicho ambao zaidi ya asilimia 98% wanatoka kanda ya kaskazini mwa Tanzania,sikutegemea hata kidogo kama angethubutu kuwa na uhusiano wa karibu na...
  8. Amosam

    Maumivu ndani ya tundu ya haja ndogo

    Kuna jamaa yangu anaomba msaada wa ushauri kimatibabu kwani anasumbuliwa na maumivu katika eneo la shingo ya uume wake. Tatizo hilo amekuwa nalo kwa zaidi ya miaka saba sasa kwani ameshakwenda katika hospitali nyingi kupata matibabu lakini bado hajapona. Baadhi ya madakitari walipompima...
Back
Top Bottom