Jina la balozi wa Japan hapa Tanzania

Amosam

Senior Member
Jan 15, 2009
154
5
Wakubwa shikamooni wadogo hamjambo?

Naomba kufahamishwa jina la barozi wa Japan hapa nchini Tanzania pamoja na mahali zilipo ofisi zake. Ahsanteni.
 
sijui mkuu, acha nipeleleze ila majina ya wajapan ni tatanishi sana unaweza piga watoto!
 
Balozi wa Japan nchi Tanzania anaitwa Hiroshi Nakagawa, Ila ofisi zake ziliko watusaidie wanaJF wengine
 
Wakubwa shikamooni wadogo hamjambo?

Naomba kufahamishwa jina la barozi wa Japan hapa nchini Tanzania pamoja na mahali zilipo ofisi zake. Ahsanteni.
Marahaba !! Jina la balozi silifahamu, lakini kupata ofisi click HAPA
 
Ofisi zao zipo Ally Hassan Mwinyi Road kuna kituo cha mafuta then Red Cross, Amref unafuata Ubalozi wa Japan sijui kama nitakuwa nimekusaidia kujibu swali lako ulipo ubalozo wa Japan
 
Embassy of Japan
P.O. Box 2577
Plot No. 1018, Ali Hassan Mwinyi Rd
Dar es Salaam, TANZANIA
Tel: (+255-22) 2115827/9
Fax: (+255-22) 2115830
 
jamaa natafuta baRozi na si baLozi

mkiambiw amsome kiswahili shule ya msingi mmengangania kujidai uzungu tuu sasa ndio nini hii?
 
jamaa natafuta baRozi na si baLozi

mkiambiw amsome kiswahili shule ya msingi mmengangania kujidai uzungu tuu sasa ndio nini hii?

Mkuu hiyo hata usimlaumu, unajua kama sisi kina Mura hata ufanyeje? ni sawa sawa na Kamwene na asande badala ya asante, kwao 'n' ni issue, achilia mbali na ndugu zangu wa ukanda wa kusini wale 'm' ni kitu adimu sana, wao ni nchicha, nchanga n.k, ukienda kwa watani zangu kule bukoba pamoja na kusoma mpaka no class ahead, 'r' na 'l' hawapishani na sisi babu zao! hivyo tuchukuliane sometime swala siyo shule ni 'our vernacular language effect'
 
jamaa natafuta baRozi na si baLozi

mkiambiw amsome kiswahili shule ya msingi mmengangania kujidai uzungu tuu sasa ndio nini hii?

unaposahihisha/hakiki uandishi wa mtu na wewe huna budi kuhakiki uandishi wako kabla ya ku-post
 
Back
Top Bottom