Dr. Ndodi atoa zawadi ya Nissan Patrol | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Ndodi atoa zawadi ya Nissan Patrol

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Amosam, Sep 9, 2009.

 1. Amosam

  Amosam Senior Member

  #1
  Sep 9, 2009
  Joined: Jan 15, 2009
  Messages: 154
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nilikuwa nangalia kipindi cha Mch.Isaack Ndodi wa Haleluya Sanitarian Clinic kinachorushwa na kituo cha televisheni ya Star jumanne 08/09/09.

  Katika mafundisho yake kuhusu madhara ya ulaji mbovu ambao unasababisha magonjwa mengi katika mwili wa binaadamu,aligusia na kusisitiza kuwa Nyama ya Kitimoto(NGURUWE) ni hatari na pia haikuruhusiwa na aliyeumba ulimwengu(Mungu).Amesema kuwa nguruwe ana vijidudu vya magonjwa mengi ambayo ni hatari kwa afya ya binaadamu.Alipoulizwa je sisi tunaekula kitimoto tutakuwa tumepata wapi agizo la kutumia nguruwe,alijibu namnukuu 'Mkristo yeyote atakayeweza kunitajia andiko linaloruhusu matumizi ya nyama ya nguruwe aje ofisini kwangu pale magomeni mwembechai nitamkabidhi gari yangu mpya NISSAN PATROL iwe yake moja kwa moja'.Akatoa baadhi ya maandiko yanayokataza ulaji wa nyama ya nguruwe kama walawi 11..tena akatoa andiko linalosema 'YESU KRISTO NI YULE YULE JANA,LEO HATA MILELE' hivyo hoja ya kusema eti walawi,kumbukumbu ya torati ni agano la kale halimuingii akilini.

  Kwahiyo wenye maandiko katika vitabu vitakatifu vinavyoruhusu kuliwa kitimoto waende kwa Ndodi kwani Nissan Patrol ipo kwa ajili yao.

  Onyo kama huna cha kuchangia mjadala huu angalia kisha ondoka, nahitaji wenye hekima na busara katika kuchangia,ukitoa pumba nitajua wewe ni walewale waliopitia shule lakini hawakuelimika.
   
 2. E

  EvanMakundi Member

  #2
  Sep 9, 2009
  Joined: Dec 3, 2007
  Messages: 39
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Though I do not intend to Claim the Nissan Patrol he offered, but I just want to put this in light once and for ALL

  Please Read 1 Timothy 4 verse 1 to 5. (In King James Version and New International Version) ……It can not get clearer than this.


  1 Timothy 4 (New International Version)

  1 Timothy 4

  Instructions to Timothy

  1The Spirit clearly says that in later times some will abandon the faith and follow deceiving spirits and things taught by demons.
  2Such teachings come through hypocritical liars, whose consciences have been seared as with a hot iron.
  3They forbid people to marry and order them to abstain from certain foods, which God created to be received with thanksgiving by those who believe and who know the truth.
  4For everything God created is good, and nothing is to be rejected if it is received with thanksgiving, 5because it is consecrated by the word of God and prayer


  1 Timothy 4 (King James Version)

  1 Timothy 4

  1Now the Spirit speaketh expressly, that in the latter times some shall depart from the faith, giving heed to seducing spirits, and doctrines of devils;
  2Speaking lies in hypocrisy; having their conscience seared with a hot iron;
  3Forbidding to marry, and commanding to abstain from meats, which God hath created to be received with thanksgiving of them which believe and know the truth.
  4For every creature of God is good, and nothing to be refused, if it be received with thanksgiving:
  5For it is sanctified by the word of God and prayer.

  ….It can not get

  Please if you do not eat Kitomoto, do not point fingers to us who eat it. Unless you have been subjected to the teaching doctrines of devils…..;
   
Loading...