Kifo hakina macho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kifo hakina macho

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Amosam, Jun 25, 2009.

 1. Amosam

  Amosam Senior Member

  #1
  Jun 25, 2009
  Joined: Jan 15, 2009
  Messages: 154
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa jinsi ambavyo aliyekuwa mbunge wa Tarime kupitia chama cha wakaskazini marehemu CHACHA WANGWE alivyokuwa katika malumbano na watendaji wa chama hicho ambao zaidi ya asilimia 98% wanatoka kanda ya kaskazini mwa Tanzania,sikutegemea hata kidogo kama angethubutu kuwa na uhusiano wa karibu na mmoja wao(MALLYA) na kumwamini kuwa dereva wake kwani nijuavyo mimi hata siku moja nyani hageuki kuwa mbuzi.

  Malumbano ya marehemu na Wakaskazini yalikuwa makubwa hata kutishia kukisambaratisha chama ugomvi ambao haukwisha hadi pale umauti ulipomkuta Chacha Wangwe. Mahakama kuu kanda ya kati Dodoma imeaona kuwa bwana MALLYA amesababisha kifo cha Wangwe,swali wenzetu wa kaskazini ujasusi huu mmejifunzia wapi maana tunapata hofu hata ya kufanya biashara pamoja.

  Nimeshaanza kuwa na wasiwasi hata kule Biharamuro kwani tayari dereva wa mgombea toka chama cha walaji amenusurika kifo baada ya kupigwa mapanga na bisibisi, wenzetu wa kaskazini mnatupeleka wapi?!
   
 2. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  duh!
  mimi naona unaaonea hawa miamba-wa - kaskazini!kama kuna weakness,labda ni INDIVIDUAL TU,ambayo hata mtu wa kule ludewa,au makambako,au kwa kina mudhihir,au kule bomba mbili ANAWEZA KUWA NAYO TU
   
 3. Eliaona

  Eliaona Member

  #3
  Jun 25, 2009
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 72
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 25
  Labda tukuulize wewe Mtanzania mwenzetu, unatupeleka wapi huku? Ni Kenya, Iran au wapi, Unajua madhara ya maswali yako na opinion yako isiyofanyiwa uchunguzi wowote? Hii ni Jamii Forums, si tu a place for Daring to talk Openly, but also a Home of Great Thinkers, na kama this is how we keep thinking and lead our country to the deep troubles we see our neighbours go through, then we are not Great Thinkers at all..
   
 4. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ...........ivi wapi na wapi ''facts kuhusu kifo'' ikawa Breaking news?....mkuu edit title yako...ondoa hiyo BN...!
   
 5. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  kuna uhusiano gani kati ya Mallya na hicho unachokiita wakaskazini?
   
 6. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2009
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Amosam, Kaanze upya.
  Nadhani unataka tu kuongeza idadi ya posts zako. by the way usi generalize, sema wanakupeleka wapi siyo wanatupeleka wapi. Acha kuleta ukabila hapa.
   
 7. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #7
  Jun 25, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Unajua ni tabia isiyo faa mtu kuamkia wanzuki na chibuku asubuhi asubuhi, halafu leo ni siku ya kazi hata weekend bado!
   
Loading...