Search results

  1. chinga4

    Nahitaj mkopo wa haraka.( express credit)

    Ndg zangu naombeni , mnifahamishe taasisi znatoa mkopo wa haraka kwa riba nafuu nna kazi yangu nahtaj cash ya haraka ambayo naeza rudsha within a month.
  2. chinga4

    Siku mkeo akichepuka, kifo chako kiko karibu

    SIKU MKEO AKIANZA KULALA NA MWANAUME MWINGINE JUA KIFO CHAKO KI KARIBU....... "Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na akaendelea kumpenda mume wake kwa dhati.Nasema hivi kwasababu mwanaume hafanyi tendo la ndoa kwa hisia...
  3. chinga4

    Petit man amuoa mtoto wa Gardner G Habash

    New marriage in town.. ndoa imefungwa mabibo upande wa mama ake careen
  4. chinga4

    Mwenye shortlist ya PBZ.

    Wadau Naomba mwenye shortlist ilotolewa na benk ya PBZ kwa ajili ya interview ya kwanza. Kupitia magazeti la daily news na zanzibar leo tarehe 20.3.2017.
  5. chinga4

    Passport imeokotwa

    Kwa yeyote anaemjua bi Caroline Emannuel Msela. Ambae amepotelewa na hati yake ya kusafiria basi amwambie awasiliane na
  6. chinga4

    Verosa is for sale

    Nauza
  7. chinga4

    April fool imeua mtu mtaani kwetu baada ya kutumiwa sms na mpenzi wake

    Baby am so sorry. I really love you and I really regret loosing you cos you are everything to me but am caught up in a situation I don't know what to do. I had a one night stand with this guy we in the same class with. We were in the class party and it happened unexpectedly and I wanted to...
  8. chinga4

    Natafta gar ya kununua toyota run x.

    Toyota run x ya kununua natafta iwe mpyaa haijawah tumika tz. Mwenye nayo anambie bei na specifications
  9. chinga4

    now open ,now open. baisar classic barbershop.

    wadau wa jf, kjana mwenzenu nmepata fursaa ya kufungua bsrbershop maeneo ya kkoo mtaa wa masasi na likoma, karibu na kanisa la kkt (eben view hotel). karbun wote mtapata huduma zenye kiwango km vile kunyoa, scrub, mask, wave, super black, steaming, kuosha miguu na kukata kucha. ** pia...
  10. chinga4

    galaxy note 3.. znastaki sana..

    galaxy note 3.. znasumbua sana.. znastaki sana.. solution n nn?
  11. chinga4

    Galaxy note 10.1 inauzwaa

    Tablet galaxy note 10.1 gb 16, ambayo inapiga cm, na inameza memorkad, 3g, camera, iko full na chaja yake mpyaaaa kabsaaa tsh 600000. Warranty mpaka unaibiwa.
  12. chinga4

    S3 inauzwa kwa waliopo dodoma

    Hello Nauza galaxy s3 mpyaa rang ya maroon kwa lak 6, especially kwa watu wa dodoma. Sabab za kuiuza n kwamba nmeishiwa pesa, na cna hata shlng na nko dodoma ugenn.
  13. chinga4

    Engine ya Gari yangu imepasuka BLOCK ni Toyota Cami. Aka Terrios.

    Any Technical assistance, nbadili engine au nitafute Block? Engine yake ni bei ngap kwa wanaofahamu. Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  14. chinga4

    Samsung galaxy S4 for sale.

    Jaman kutokana na majukum ya eid el-fitr nmeamua kuiuza cm yang samsung galaxy s4 kwa Tsh 8000000. Rang ya maroun.
  15. chinga4

    But our winner is the HTC One. Beating all other Android phones and inciting sly glances from even h

    But our winner is the HTC One. Beating all other Android phones and inciting sly glances from even hardcore Apple fans, its sleek design, fine performance and stunning screen make this a superb smartphone. And that's why we make it the best smartphone to buy in 2013, for now...
  16. chinga4

    samsung Galaxy S4 (Tsh 1m) na S3(Tsh 750,000) mpya kwenye box.. Is for sale. U can PM me if your int

    Samsung Galaxy S4 (Tsh 1m) na S3 (Tsh 750,000) mpya kwenye Boxes zinauzwaaa. U can PM me if ua interested, warranty mpaka Unaibiwa.
  17. chinga4

    IPAD 2 is for sale GB 64.

    Ipad 2 GB 64 is for sale. Tsh lak 550000. Iko saaafi kabisa, inameza chip. Sababu za kuuzwa, mmiliki anataka alipe pango ya nyumba. If ur serious buyer pls PM me... Sent from my BlackBerry Q10using JamiiForums
  18. chinga4

    Ole wako ukamatwe na wanajeshi mtwara utajuta kuzaliwa..

    Eeeh Mola nakuomba uwaokoe na kuwalinda ndugu zangu wa Mtwara. Kwani unyama wanaofanyiwa na jeshi la wananchi JWTZ ni wa kusikitisha. Wanajeshi wanakamata Raia na kuwapeleka jeshini Naliendele kwa ajili ya kuwatesa, na kuwafanyia unyama usioelezeka. Mfano jana viongozi wa CUF wakiongozwa na...
Back
Top Bottom