now open ,now open. baisar classic barbershop.

chinga4

Senior Member
Mar 18, 2013
131
57
wadau wa jf, kjana mwenzenu nmepata fursaa ya kufungua bsrbershop maeneo ya kkoo mtaa wa masasi na likoma, karibu na kanisa la kkt (eben view hotel).
karbun wote mtapata huduma zenye kiwango km vile
kunyoa, scrub, mask, wave, super black, steaming, kuosha miguu na kukata kucha.
** pia supersport is available kwa wapenzi wa mpira..
karbu wote..
 
Back
Top Bottom