Nahitaj mkopo wa haraka.( express credit)

chinga4

Senior Member
Mar 18, 2013
131
57
Ndg zangu naombeni , mnifahamishe taasisi znatoa mkopo wa haraka kwa riba nafuu nna kazi yangu nahtaj cash ya haraka ambayo naeza rudsha within a month.
 
Sema kiasi na dhamana mi nakupa
Ila dhamana izidi kiasi unachochua ili usiporudisha sina hasara
 
Nenda atlas microfinance..wako round about ya mlimani city. Jengo la mwenge tower floor ya nne. Mkono ni within lisaa limoja. Sharti lao ni uwe na dhamana mfano wa gari, flat screen, laptop au chochote kile kinachouzika. Wanabaki na dhamana yako mpaka utakapolipa deni lako. Kila la heri
 
Back
Top Bottom