Galaxy note 10.1 inauzwaa

Galaxy note 10.1 inauzwaa

chinga4

Senior Member
Joined
Mar 18, 2013
Posts
131
Reaction score
58
Tablet galaxy note 10.1 gb 16, ambayo inapiga cm, na inameza memorkad, 3g, camera, iko full na chaja yake mpyaaaa kabsaaa tsh 600000.
Warranty mpaka unaibiwa.
 
Tablet galaxy note 10.1 gb 16, ambayo inapiga cm, na inameza memorkad, 3g, camera, iko full na chaja yake mpyaaaa kabsaaa tsh 600000.
Warranty mpaka unaibiwa.

warranty mpaka unaibiwa ndo ina expaya au ukiibiwa pia unakuwa umepata warranty?
Dadavua ambiguity hiyo jibaba au jimama?
 
Back
Top Bottom