Natafta gar ya kununua toyota run x.

Natafta gar ya kununua toyota run x.

chinga4

Senior Member
Joined
Mar 18, 2013
Posts
131
Reaction score
58
Toyota run x ya kununua natafta iwe mpyaa haijawah tumika tz. Mwenye nayo anambie bei na specifications
 
Toyota run x ya kununua natafta iwe mpyaa haijawah tumika tz. Mwenye nayo anambie bei na specifications

Hiyo gar itakuchukua muda sana kupata unajua bei yake ya Japan na ushur wa hapa na kwenye soko mzunguko wake Mdogo wengi hawazilet ila jitahid unaweza kufa nikiwa
 
kwanza angalia kama bado wanazitengeneza then ndo uagize, ila bei yake haishuki 20,000$
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom