Search results

  1. chinga4

    Nahitaj mkopo wa haraka.( express credit)

    Ndg zangu naombeni , mnifahamishe taasisi znatoa mkopo wa haraka kwa riba nafuu nna kazi yangu nahtaj cash ya haraka ambayo naeza rudsha within a month.
  2. chinga4

    Siku mkeo akichepuka, kifo chako kiko karibu

    SIKU MKEO AKIANZA KULALA NA MWANAUME MWINGINE JUA KIFO CHAKO KI KARIBU....... "Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na akaendelea kumpenda mume wake kwa dhati.Nasema hivi kwasababu mwanaume hafanyi tendo la ndoa kwa hisia...
  3. chinga4

    Huyu ndio mume ajae wa Wema sepetu

    Dogo janja Barakah da prince Aslay Roty muuza bangi Petman Mirror 26 Dan kesy Dash 777 ( uyu alimlipia rent) Hao n wasiojulkana sana.
  4. chinga4

    Huyu ndio mume ajae wa Wema sepetu

    Wema ata. Ukiwa na SKANKA (Bangi quality ) unamla. Milion yoote ya nn??
  5. chinga4

    Petit man amuoa mtoto wa Gardner G Habash

    Kamuoaa caren . Tusibishane
  6. chinga4

    Petit man amuoa mtoto wa Gardner G Habash

    Hata km n mume , kwa mujbu wa din yke anaruhusiwa kuoa tena.ila kwa uhakk n kwamba alishaachana na esma talaka 3
  7. chinga4

    Petit man amuoa mtoto wa Gardner G Habash

    New marriage in town.. ndoa imefungwa mabibo upande wa mama ake careen
  8. chinga4

    Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Msaada, jinsi ya kufungua kampuni itakayojishughulisha na kazi zifuatazo. Printing, usafirishaji mazao na ununuzi mazao.
  9. chinga4

    Mwenye shortlist ya PBZ.

    Wadau Naomba mwenye shortlist ilotolewa na benk ya PBZ kwa ajili ya interview ya kwanza. Kupitia magazeti la daily news na zanzibar leo tarehe 20.3.2017.
  10. chinga4

    Used TV inchi 42 inahitajika haraka sana

    Led olg inch 43 tsh 700
  11. chinga4

    Passport imeokotwa

    Kwa yeyote anaemjua bi Caroline Emannuel Msela. Ambae amepotelewa na hati yake ya kusafiria basi amwambie awasiliane na
  12. chinga4

    Diamond amuita Jokate "makombo"

    Nna usd 200 namtaka jokate na pesa ya middlemen nnayo Anaeweza an pm
  13. chinga4

    Verosa is for sale

    Typing error nlplan nseme no n cvz
  14. chinga4

    Verosa is for sale

    Nauza
  15. chinga4

    April fool imeua mtu mtaani kwetu baada ya kutumiwa sms na mpenzi wake

    Baby am so sorry. I really love you and I really regret loosing you cos you are everything to me but am caught up in a situation I don't know what to do. I had a one night stand with this guy we in the same class with. We were in the class party and it happened unexpectedly and I wanted to...
  16. chinga4

    TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    Source mi mwenyewe.. mbona cjakuzushia ww kufa??
  17. chinga4

    TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    Mbunge wa mbinga magharibi (ccm), kaptain john komba amefariki dumua hivi punde katika hospitali ya tmj mikocheni na hivi sasa mwili wake unapelekwa katika hospitali ya rufaa ya jeshi lugalo,kwaajili ya kuifadhiwa
  18. chinga4

    TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    Captain hatuko nae dunian
  19. chinga4

    NSSF waanza kuita watu kwa ajili ya oral interview

    N sahihi leo wameanza kuita
Back
Top Bottom