Search results

  1. okyo

    Kiwanja kinauzwa Chanika

    Habari wakuu Nauza kiwanja kipo chanika buyuni block 25 Kiwanja kina ukubwa wa sqm 316 Kimepimwa kina hati Bei 2m fixed Nb gharama za serikali za mtaa zinalipwa na mnunuzi Mawasiliano 0693060922 Bado kipo wakuu bei imepungua mpaka 2m karibuni
  2. okyo

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Chanika

    Habari wakuu Nauza kiwanja kipo chanika buyuni block 25 Kiwanja kina ukubwa wa sqm 316 Kimepimwa kina hati Urefu:30 Upana:10.5 Bei 2m maelewano Nb gharama za serikal ya mtaa unalipa wewe Mawasiliano: 0693060922 Wakuu karibuni kimeshuka bei
  3. okyo

    Mchumba wangu anasumbuliwa sana na PID mara kwa mara

    habari ya weekend
  4. okyo

    Fridge ndogo inauzwa

    ..........
  5. okyo

    Kitambulisho cha utaifa kimeokotwa

    ..............
  6. okyo

    Natafuta chumba cha kupanga

    Wadau msaada tutani Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya ubungo au sinza bajeti yangu 150 iwe master pazuri mana
  7. okyo

    Msaada dawa ya tezi au hospital nzuri hapa Dar

    Habari za Jumapili wadau Kwanza kabisa niombe kwa anaemfahamu hospitali nzuri ambayo naweza pata dakatri mzuri wa tezi ya shingoni kwa apa dar es salaam Nina ndugu yangu ameonekana anadalili za tezi shingoni hivo wajuzi wa haya mambo naombeni msaada either wa dawa nzuri ambayo inaweza ondoa...
  8. okyo

    House4Sale Nyumba inauzwa bunju B

    Wakuu salaam Kama ambavyo tangazo linajieleza,nyumba hii inauzwa bado haijakamika IPO kwenye lenta ,nyumba IPO Bunju B(Mugemuzi) pale sokoni unapandisha juu kidogo ni kama 1.5km toka barabarani Nyumba INA vyumba viwili,kimoja master na kingine cha kawaida na public toilet,na jiko na seating room...
  9. okyo

    TV4Sale Nauza flat screen LG 32" LB56

    Wadau kama title inavyojieleza,nimeamua kuuza flat screen yangu, Nimekwama wadau mana naona muda unayoyoma alafu mambo hayajakaa sawa hivo kuepusha shali na landlord ni bora niuze tu hii tv TV ni mpya na original(LED) nilinunua Romania IPO kwenye hali nzuri sana nakupa pamoja na receipts na...
  10. okyo

    Msaada tutani

    Heshima kwenu wakuu Ninaomba msaada ninacreate PayPal account sasa nimekuwa napata tabu sana na hii zip code sielewi nijaze nini hapo kwenye zip code na kingine ni hizo state zinakuja suggestion ambazo sizielewi. Nimeambatanisha picha za hizo state apo
  11. okyo

    Meza na kochi zinauzwa

    Kama kichwa kinavyojieleza Nina uza bidhaa tajwa apo juu nipo vinapatikana bunju Vyote 250,000/= 0652482782 Bei imeshuka wadau karibuni mzigo bado upo
  12. okyo

    INAUZWA Kitanda na godoro lake vinauzwa

    Habari wakuu.. Kutokana na hali mbaya ya kiuchumi hapa mjini nimeamua uza kitanda na godoro nirejee kijijini nikajiajiri Kitanda ni futi 5 kwa 6 pamoja na godoro Dodoma vimetumika miezi sita tu vyote vipo kwenye hali nzuri sana. Vinapatikana riverside Kwa anahitaji tuwasiliane kupitia pm Au...
  13. okyo

    Newsstand jua simu niliyonunua kama ni original au clone

    Wadau Naombeni mnisaidie nimenunua simu Mpya Sasa ntawezaje jua kama ni original
  14. okyo

    Interview Precision Air

    Wanabodi nimeitwa kwenye interview precision air naomba kwa yeyote anaefahamu vizuri interview za hawa jamaa tujuzane wakuu
  15. okyo

    Msaada kuhusu malipo ya ada yanayolipwa na Bodi ya Mkopo (HESLB)

    Habar zenu wanajukwaa...! Nimekuwa nikipata mkanganyiko kidogo kuhusu swala la ada inayolipwa na bodi ya mkopo kwenye vyuo vikuu Pale ambapo mwanafunzi anapata mkopo bodi humlipia mwanafunzi huyo pesa ya meals and accomodation na tution fee kwa ile percent ambayo mwanafunzi amepewa na bodi ya...
  16. okyo

    Line ya airtel money

    habari wanajukwaaa line ya uwakala ya airtel money inauzwaa kwa bei rahisi sana kwa anaehitaji ani pm 130000 fixed
  17. okyo

    Biashara ya kuku wa kienyeji

    Habari zenu wanajukwaa... Kwanza kabisa ninapenda kuwapa pole kwa majukumu ya hapa na pale kutokana na mihangaiko ya kuweza kujikwamua na huu umasikini Mi ni mjasiriali na nina ndoto nyingi sana kwenye maisha katika tembea tembea zangu nikaona hii fursaa ya kuuza kuku wa kienyeji na kwa kweli...
  18. okyo

    Nauza line ya Tigopesa, M-pesa na Airtel Money

    wadau kwa anaehitaji line ya kupigia biashara tgopesa, artel money, na m-pesa ani pm tigopesa 250000 m-pesa 200000 airtel money 200000
  19. okyo

    Msaada:kwa anaeifahamu vizuri brac

    Wanajamvi naombeni msaada kwa anayewafahamu vizuri hawa jamaa mazingira ya kazi kwa ujumla na mishahara yao kwa credit officer. Nawasilisa
  20. okyo

    Msaada kwa yeyote anaefahamu kuhusu credit transfer

    polen na majukumu wanajamvi, ninaomba mtu yeyote anaefahamu kuhusu credit transfer anisaidie kunipa msaada maana mwenzenu nimechanganyikiwa hapa nilipo nimekuwa discontinue kweny chuo fulan kwa sababu ya course moja sasa ninaomba kwa yeyote anaefahamu zaidi aweze nisaidia maana kuanza upya...
Back
Top Bottom