Mchumba wangu anasumbuliwa sana na PID mara kwa mara

Tafuta hii kitu , ipo Jumia pia inaweza kumsaidia. Uterus cleansing pills
images%20(7).jpeg
 
Madaktari njoeni muokoe jahazi huku
Mkuu kama hio kitu ni sugu na mwanzo wakati wa kutibiwa alipewa dozi sahihi hapo solution ni kufanya culture na sensitivity.

Aende hosptali kubwa au ile ile aliyotibiwa aseme kwamba tatizo haliponi ili waoteshe hao wadudu wanaoleta usumbufu na waangalie wanauawa kwa dawa gani..

Inawezekana dawa zote anazotumia ni resistant kwa hao wadudu wanaomtesa. Ambalo ni tatizo kubwa sana kwa dunia ya leo..
 
ukiongelea pid inahusisha kuvimba au infection kwenye system nzima ya uzaz
Mwingine anaweza kuwa na infection kwenye cervix _ni PID
infection kwenye utérus _PID
infection kwenye ovary _PID

At early stage inatibika lakini ikishakuwa chronic sidhani.
 
Asante mkuu

Ngoja nijaribu ulizia ni wapi tunaweza pata huduma nzuri kwa dodoma ikishindikana itabidi nimpeleke muhimbili

Mkuu hosp walipomfanyia ultra sound walisema ana features za PID na pia kwenye ovary kuna uvimbe anapata maumivu makali sana chini ya kitovu sio mara zote lakini ila yakianza ni makali sana mpaka namuonea huruma kingine kabla hatujajua ilikuwa tufanya sex anapata maumivu makali sana
ukiongelea pid inahusisha kuvimba au infection kwenye system nzima ya uzaz
Mwingine anaweza kuwa na infection kwenye cervix _ni PID
infection kwenye utérus _PID
infection kwenye ovary _PID

At early stage inatibika lakini ikishakuwa chronic sidhani.
 
Asante mkuu

Ngoja nijaribu ulizia ni wapi tunaweza pata huduma nzuri kwa dodoma ikishindikana itabidi nimpeleke muhimbili
Kama ni dom pale Benjamin Mkapa wanafanya culture na kuna maspecialist wa magonjwa ya wanawake....
Unaweza kwenda pale watakusaidia
 
Baada ya kupima na kukutwa na hilo tatizo, amepewa dawa gani amezitumia kwa muda gani?
 
Asante mkuu

Ngoja nijaribu ulizia ni wapi tunaweza pata huduma nzuri kwa dodoma ikishindikana itabidi nimpeleke muhimbili

Habari unaweza kutembelea ofisi zetu Dar au Dodoma branch tunayo pid package,ni kweli hospitali hutoa dawa lakini chances za bacteria kuleta resistance hutokea utofauti wa package hii ni kwamba kwanza unadeal na bacteria aina zote anaerobic na aerobic bacteria ,pili katika package hii ipo moja wapo inayosaidia kwa issue ya cysts na myomas hivyo itamsaidia
Incase of anything pm me kwa maelezo zaidi
 
Vidonge anaweka ukeni kinakaa huko siku 3, tiba za wakorea hizi wanazitumia zaidi. Kuusu maelekezo na bei nimekwambia nenda jumia.co.tz search uterus cleansing pills .
Ama huwajui jumia wanahusika na nini boss
Ni kitu gani hiki mkuu nipe maelekezo jinsi ya kutumia na bei tafadhali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom