TV4Sale Nauza flat screen LG 32" LB56

okyo

JF-Expert Member
Mar 16, 2013
2,003
1,507
Wadau kama title inavyojieleza,nimeamua kuuza flat screen yangu,

Nimekwama wadau mana naona muda unayoyoma alafu mambo hayajakaa sawa hivo kuepusha shali na landlord ni bora niuze tu hii tv

TV ni mpya na original(LED) nilinunua Romania IPO kwenye hali nzuri sana nakupa pamoja na receipts na kila kitu ila box lake limeharibika kidogo

Price:450,000/=

Contact:0743830276
Ubungo river side
Picha ntaziweka kesho
969e94d6feef7fc855198ef3747f1e7e.jpg
cb447251b3bc7d87c01e488755558a34.jpg
f1bb3a3029ac746317091a64696a81d7.jpg

881a5d66434e102494880c9034a2a14f.jpg
d106038eb04363344d696ad8645bd319.jpg
fd40a02f2b721b3c4839150168d6427f.jpg
ae3990fa966f9f67bf3d5656e2cce2f4.jpg
 
Wadau kama title inavyojieleza,nimeamua kuuza flat screen yangu,

Nimekwama wadau mana naona muda unayoyoma alafu mambo hayajakaa sawa hivo kuepusha shali na landlord ni bora niuze tu hii tv

TV ni mpya na original nilinunua Romania IPO kwenye hali nzuri sana nakupa pamoja na receipts na kila kitu ila box lake limeharibika kidogo

Price:450,000/=

Contact:0743830276
Picha ntaziweka kesho
Ok..na vp kwa laki3 itafaa?na ntaipataje?
 
location yako mkuu hujasema..tv ina muda gani tangu ununue..je ni LED au LCD
 
Ninapatikana dar es salaam- ubungo river side
 
Wadau kama title inavyojieleza,nimeamua kuuza flat screen yangu,

Nimekwama wadau mana naona muda unayoyoma alafu mambo hayajakaa sawa hivo kuepusha shali na landlord ni bora niuze tu hii tv

TV ni mpya na original(LED) nilinunua Romania IPO kwenye hali nzuri sana nakupa pamoja na receipts na kila kitu ila box lake limeharibika kidogo

Price:450,000/=

Contact:0743830276
Ubungo river side
Picha ntaziweka kesho
5cd7a167ddbf75949f28ee95d4b81789.jpg
5585bb2f95c0e4b3d47c143335800f88.jpg
89aa57c0978959a7dba2040810fa2905.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom