Msaada tutani

okyo

JF-Expert Member
Mar 16, 2013
2,003
1,507
Heshima kwenu wakuu

Ninaomba msaada ninacreate PayPal account sasa nimekuwa napata tabu sana na hii zip code sielewi nijaze nini hapo kwenye zip code na kingine ni hizo state zinakuja suggestion ambazo sizielewi.
Nimeambatanisha picha za hizo state apo
8eeabcd8da9547c5bdedd5a09134f231.jpg
 
Wadau nisaidieni nikamilishe hili jambo
 
Back
Top Bottom