Search results

  1. PingPong

    Wizara ya elimu itatoa majina ya waliopata scholarship lini?

    Habari wakuu, kama kichwa cha habari kinavyoonekana...wizara ya elimu itatoa lini majina ya waliopata scholarship za nchi mbalimbali ikiwemo China? maana nimesikia utaratibu siku hizi ni kujilipia nauli mwenyewe na pia hakuna mkopo wala topup allowance kwa waliopata udhamini kusoma nchi...
  2. PingPong

    Benki nchini China na Tanzania

    Wakuu habari zenu, naomba kuuliza kwa yeyote anaefahamu benki ambayo mtu anaweza kufanya transactions zote including kuweka na kutoa pesa akiwa Tanzania na pia hata akiwa China.
  3. PingPong

    Nini tiba ya chronic ethmoid sinusitis

    Kuna jamaa yangu flani age-40's, sex-male anapata uzito wa ulimi kwa wiki mbili sasa unaomfanya ashindwe kuongea vizuri sometimes na kuumwa kichwa mara kwa mara, akaambiwa afanye CT scan ya kichwa ikaonyesha ana chronic ethmoid sinusitis....je matibabu yake ni ninil?
  4. PingPong

    traditional chinese songs (video)

    Habari zenu wakuu....wapi naweza kununua videos za traditional chinese songs
  5. PingPong

    phone hacking

    wakuu hii kitu inawezekana kwa bongo?......kuna jamaa anahitaji kujua jinsi ya kufanya ili aweze kuunganishwa kwenye calls anazopigiwa mbaya wake....so help if possible
  6. PingPong

    Amana, Temeke au Mwananyamala

    Wasalaam wakuu...naomba kuuliza kuwa kati ya hospitali ya temeke, amana na mwananyamala ipi ina nafuu kwenye utoaji huduma ya afya kwa upande wa vipimo na huduma nyingine kwa wagonjwa.....kwani natumai hapa wapo wanaofanya kazi katika hospitali mbalimbali .....naombeni mchanganuo wenu kwa...
  7. PingPong

    Hospitali za serikali mkoani Dar

    Waungwana naomba mnihabarishe hospitali za serikali ambazo ni bora (zenye unafuu ktk utoaji huduma) kwa mkoa wa Dar.....kuna rafiki yangu yupo nje ya nchi anahitaji kupata walau kamwanga kuhusu hilo kwani anataka kuja kufanya kazi Dar.
  8. PingPong

    htc "loading" problem

    Wakubwa htc yangu "s610d" inachukua muda mrefu sana kuload hasa napohama kutoka kwenye activity yoyote kwenda homescreen.....huwa inaandika "loading" kwa kama sekunde 30 then ndio inafunguka homescreen....hapakuwa na hilo tatizo awali...naombeni msaada wenu jinsi ya kutatua hilo tatizo.
  9. PingPong

    Digrii ya udaktari wa binadamu

    salamu wakuu, naomba mnijuze kuhusu hii digrii ya udaktari wa binadamu, je ina classes? maana nyingine huwa nasikia kuwa kuna lower class, first class etc, sasa hii digrii ina haya mambo? kwa mujibu wa baadhi ya watu wanadai hii digrii haina huo mchanganuo, kama ni kweli, ni kwa nini? naomba...
  10. PingPong

    Kwani vip?

    Inakuwaje hapo mazee....
  11. PingPong

    Spyware doctor 9.0.0.898

    Waungwana naomba msaada wa license key ya spyware doctor 9.0.0.898. Pia kuna sehemu wanataka license name, natakiwa kuandika nini? (msaada jamani, jahazi linazama)
  12. PingPong

    Tusker challenge cup Final: Uganda vs Rwanda

    Mpira unaendelea mpaka sasa ni bila bila, tuendelee kujuzana kinachoendelea japo timu yetu haikufanikiwa kuingia fainali. Dakika 90 za kwanza zimeisha matokeo yakiwa: Rwanda 2 - 2 Uganda Mpaka dakika 120: Rwanda 2 - 2 Uganda PENALTIES: 1st: Uganda: GOAL Rwanda: GOAL 2nd: Uganda: 0...
  13. PingPong

    TFF mtafuteni huyu kocha anawafaa sana taifa stars

    check video, huyu kocha lazima atupeleke kwenye kombe la dunia, akishindwa huyo basi tena tuache kucheza mpira wa miguu...Kocha Kibokoo.wmv - YouTube
  14. PingPong

    Nizar khalfan atemwa vancouver, apata timu mpya.

    KIUNGO wa Tanzania Nizar Khalfan ametemwa kwenye timu ya Vancouver Whitecaps ya Canada kutokana na kushindwa kuonesha uwezo wa kuridhisha kwa timu hiyo inayocheza ligi ya MLS nchini Marekani. Uamuzi huo wa Whitecaps kumtema Khalfan ulitangazwa Jumatano, ambapo baada ya kutemwa huko klabu ya...
  15. PingPong

    India's Got Talent BEST EVER 2011

    Jionee mwenyewe hii video......hawa jamaa nashindwa hata jinsi ya kuwaelezea.India's Got Talent BEST EVER 2011 - YouTube#!
  16. PingPong

    signature

    Wadau wa mambo ya sheria naomba mnifahamishe kuhusu signature (sahihi) ya mtu binafsi kama inawezekana kuibadili wakati wowote mhusika anapoitaji, mfano mtu akitumia aina flani ya signature tangu anasoma sekondari mpaka chuo, baada ya kuanza kazi akaamua kutumia signature nyingine, je kuna kosa...
  17. PingPong

    How to save files in yahoo mail?

    Habari zenu wadau, naomba msaada wa kuelekezwa jinsi gani ya ku-save files mbalimbali ( mfano pdf files) kwenye email yangu ya yahoo. Naweza kutengeneza folder, tatizo linakuja jinsi gani nitaweza ku-upload file kutoka kwenye kompyuta kwenda kwenye hilo folder nililotengeneza kwenye email...
  18. PingPong

    vijana stars vs shelisheli

    wadau tunaomba matokeo ya hii mechi kwa yeyote anaefahamu
  19. PingPong

    Application error

    Habari zenu wadau popote mlipo, jamani naombeni mnisaidie kuzitoa hizi application errors msg zinatokea kweli kwenye screen yangu mpaka napata wasiwasi kuwa kuna siku litanizimikia kabisa, naomba mnipe mbinu jinsi ya kusolve ili hizo errors zisitokee tena. Nimegoogle sana lakini bado...
  20. PingPong

    TBC1 in Tv4africa

    jamani kwa wale mnaotumia tv4africa kuangalia channels za Tz, hii channel ya TBC1 inapatikana?
Back
Top Bottom