wakuu hii kitu inawezekana kwa bongo?......kuna jamaa anahitaji kujua jinsi ya kufanya ili aweze kuunganishwa kwenye calls anazopigiwa mbaya wake....so help if possible
Ni impossible kusikiliza wakati huo huo! Ila kuna ile ambayo inategemeana na simu ya huyo mtumiaji!
Kuna app una intsall kwenye simu yake then inakutumia maongezi yake yote aliyokuwa akiongea Paje anahusika !
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.