Digrii ya udaktari wa binadamu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Digrii ya udaktari wa binadamu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by PingPong, Jul 14, 2012.

 1. PingPong

  PingPong JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2012
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 933
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  salamu wakuu, naomba mnijuze kuhusu hii digrii ya udaktari wa binadamu, je ina classes? maana nyingine huwa nasikia kuwa kuna lower class, first class etc, sasa hii digrii ina haya mambo? kwa mujibu wa baadhi ya watu wanadai hii digrii haina huo mchanganuo, kama ni kweli, ni kwa nini? naomba mnitoe gizani waungwana.
   
 2. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  haina classes, reason cjajua mpaka leo ila i think walifikiria kwamba udaktari siyo kukariri vitabu ni practise ndo inakufanya uwe competent. Kuna wengine wanakariri maandishi mkija kuintergrate kwa mgonjwa anakuwa hoi! Ingekuwa na classes watu kama kina nchemba wangeua watu wengi sana. Another way walioweka classes kwenye hizo kozi zingine ndio walioondoa kwenye udaktari,walikuwa na reason zao. Nikisikia mtu anataka kusoma udaktari moyo wangu unatetemeka sana!!
   
 3. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  embu tupe sababu za moyo wako kutetemeka mkuu...
   
 4. PingPong

  PingPong JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2012
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 933
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  hahahhahahaha............hili swali tamu sana.
   
 5. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  with this neglected health system, siwezi mshauri mdogoangu asome medicine! Imagine all those politics kwamba unasoma bure wakati kuna watu wanadaiwa zaidi ya 7M na bodi. Huduma za wazee,watoto, kina mama bure aafu hakuna vifaa vya kutolea hiyo huduma. You know lawama zote zinamwendea nani!.... Wananchi wameambiwa huduma zipo na wapiga domo,wakikosa we unaambiwa umeiba!! Ukianzisha pharmacy kwa oportunity ya serikali kutoleta dawa ili utoe huduma karibu unaambiwa ndo hazo!! Hazina hata nembo ya msd!!! Unajua machungu ya kustay 24hrs hospitali na mkeo wakikumegea wajanja kwa shs 20000 baada ya kugoma? Wao wakikaa 2hrs kwenye kikao within working hrs wanataka 45!! Unajua uchungu wa kutumia hela yako kumnunulia mgonjwa dawa na kufanya vipimo aafu ukaja kutukanwa?
   
 6. STALLEY

  STALLEY JF-Expert Member

  #6
  Jul 15, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 530
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  mi nafkiri hakuna classes sabu hiyo ni kuonyesha daktari mmoja anajua kuliko mwingine ambayo sio sahihi kuwa daktari unatakiwa uwe unajua
   
 7. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #7
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  daktari inatakiwa uwe unajua sio kujitangaza. Wagonjwa ndio watakuuza,hutakiwi kutembea mtaani na kutangaza mie nna first class kwa hiyo njooni kwangu. Ndo maana huwezi kuta daktari anajiadvertise ili watu waende kwake. Hata kwenye ajira huwa hawaulizi cheti zaidi ya hati ya usajili ya mct. Ukiona daktari anajitangaza ujue huyo hajui,anatafuta pesa. Wagonjwa ndio husema eenhe, dr nyalotsi mzuri kwenye kitu fulani. Ndo maana tunalilia mct itoke wizarani ili iendeshwa kishule zaidi badala ya kisiasa. Futa wale wote wanaotangaza dawa zao za uongo kama kina rahabu, ndodi nk ili wasifanye uganga wao wa kienyeji hadharani na kusababisha watu wanakuwa chronic.
   
 8. B

  Bunyoga Denis New Member

  #8
  Jul 15, 2012
  Joined: May 29, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  katika kusma udaktari kuna masomo mbalimbali ambayo ufaulu wake uko katika grades A hadi C. Ili kuweza kuchukua master degree inamhitaji kupata kuanzia B, B+ ama A mwanafunzi lakini hata kama ulipata C na hukuweza kuendelea na masomo ya juu zaidi, bado utahitimu na kupewa leseni kama wenzako. Chini ya C hutahitimu na hivo hutakua doctor.
   
 9. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #9
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  inategemea na mwaka uliopo. Kama mwaka wa kwanza hadi tatu unafanya sup kama vyuo vingine, ukifeli unacarry, ukifeli unadisco. Kwa mwaka wa tatu ukifeli sup unafreez mwaka mpaka utakapofaulu hilo somo ndo utaendelea mwaka wa nne. Kama ni mwaka wa nne na tano ukikamatwa unamaliza kwanza mwaka wa tano aafu unarudia somo lako ulilofail( unarudia),ukifeli unarudia tena na tena mpaka ufaulu. Hii kurudia ni mwisho semister nne kwani the maximum tenure ni 14 semisters for doctor of medicine. Grades za masomo zipo ila hakuna classes za degree.
   
 10. m

  msafi Senior Member

  #10
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 192
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Nadhani inategema na mfumo wa elimu ya vyuo husika. mfano kuna vyuo vinatoa bachelor of medicine and bachelor of surgery (MBBS) kama cha IMTU kwa tanzania ambayo ni sawa na doctor of medicine. Classes mara nyingi inaangalia GPA ambapo kila somo lina unit fulani. Lakini pia ikumbukwe neno Dr. ni kama title au utambulisho, katika afya ni digrii moja. Kuna doctor of medicine, doctor of pharmacy, doctor of nursing etc ect kutegemeana na mtaaala wa chuo husika.
   
 11. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #11
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  hakuna degree ya doctor of pharmas au nursing in this world.
   
Loading...