Search results

  1. Baraka Roman

    Nikweli vijana hatukufundishwa kujilinda au Usalama umeongezeka?

    Miaka ya nyuma,hadi sasa kwa Baba zetu ukienda pembeni ya vitanda vyao utakuta Nondo,rungu,Panga kubwa,Hivi vyote huwa navyo kwa dhumun la kujiami endapo kuna tatizo hasa la uvamizi likitokea usiku. Tofaut na vijana wengi wa siku hizi ambao hatuna muda na vitu hivyo(nazungumzia vijana ambao...
  2. Baraka Roman

    Kwa hisani ya pesa

    Ni Kwa hisani ya pesa, vizuri huwa vibaya Ni kwa hisani ya pesa,vibaya huwa vizuri Ni kwa hisani ya pesa, wabaya huwa wazuri Ni kwa hisani ya pesa,wazuri huwa wabaya! Ni kwa hisani ya pesa,binadamu hutukuzwa Ni kwa hisani ya pesa, waongo huwa wakweli Ni kwa hisani ya pesa, vidogo huwa vikubwa...
  3. Baraka Roman

    Vyoo vya uma vinaposababisha shari!!!

    Nlikuwa kwenye choo cha jamii, mara nkasikia sauti kutoka choo kinachofuata; Sauti: Oi Mambo vipi?? ME: kwa kumind nikamjibu Poa2! Sauti: So Mishe zinaendaje? ME: kama wewe nime2lia hapa! Sauti: Naweza kuja hapo? ME: [kwa kumind] nipo busy hata hauoni Sauti: sasa ckia mwana ntakucall mida kuna...
  4. Baraka Roman

    Fanya yafuatayo kabla haujainuka toka kitandani!!

    Sio unakurupuka 2 kitandan utafikir jengo limewaka moto, Amka kwa poz, KWANZA JINYOOSHE MWILI ILI UJUE KM UKO FIT, KOHOA KIDOGO ILI UTEST SOUND LINE,ELEWA SHWETAN NI GAID PENGNE KAIMUTE,THAN JAMBA KIDOGO KUPIMA MFUMO WA UPUMUAJ KM UKO POA, HALAFU SHIKA SEHEM NYET UJUE KAMA ZIPO MAANA DUNIA YA...
  5. Baraka Roman

    Jaman kama nikifanya hivi ndo najali,mpare mie Mapenzi basi

    Baada yakuona mwanamke nimpendae kabadilika gafla,nikimuuliza ananijibu Baby we haunijali.Ikabidi niende kwa shemej yangu(Dadaake) kupata ushauli, na huu ndo ushauli alionipa Shemeji kweli haumjali Tunaposema mtu anajali,tunamaanisha anasimamia show muhimu kama kumtoa out,hela ya Lace...
  6. Baraka Roman

    Walimu mbeya wakataa kutekeleza mpango wa Matokeo makubwa sasa(BRN)

    Akizungumza na walimu walioudhulia semina ya Matokeo makubwa sasa inayofanyika katika shule ya sekondari Iyunga Afisa Elimu wa Jiji Mbeya."Alisema BRN ilianzia kwa Mawazili wakaikubali,Ikaletwa kwa maafisa elimu wakaikubali,ikapelekwa kwa wakuu washule wakaikubali, Sasa naileta kwenu walimu...
  7. Baraka Roman

    ONYO USISOME MBELE ZA WATU: Kati ya Mimi na Mamaako unampenda nani?

    BABA: Kati ya mimi na mama yako unampenda nani zaidi? DOGO: Nawapenda wote BABA: Mimi ningeenda Dubai halafu mamako akaenda London, we ungeenda wapi? DOGO: Ningeenda London BABA: Kwanini? DOGO: London napenda London Zaidi ya Dubai. BABA: Je, mi ningeenda London mama yako Dubai we ungeenda wapi...
  8. Baraka Roman

    Swal kwa walimu wote BRN na FUKU nan atashinda?

    TANESCO walipoona wanaibiwa kwenye mita za umeme wakaja na LUKU (Lipia Umeme Kadili Unavyotumia) ndivyo na walimu walipolazimishwa (BRN) BIG RESULT NOW nao wamekuja na FUKU (Fundisha Kadili Unavyolipwa) dah hii ni hatari au haki? Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  9. Baraka Roman

    Hivi shetani angezaliwa Tanzania angekuwa kabila gani?

    Yuda angekuwa mchaga,Zakayo mpare Shetani je? Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  10. Baraka Roman

    Nisaidieni Dawa Ya Jipu

    Nimekuwa nikisumbuliwa na jipu kila mwaka.Kwa miaka mitatu mfululizo ikifika mwez wa sita tu linatokea katikati ya makalio. Ila mwaka huu limenitokea mwez wa pili na sasa naona dalili tena sehemu ni ile ile(Katikati ya Makalio) anayejua dawa ya kuliondoa msaada jamani.Naziona dalili zake sasa...
  11. Baraka Roman

    Mwanamke hachungwi

    Kuna mdada alkuw na BoyFriend mwngne so ilikutoka home kwake alikokuwa anaishi na mumewe ilibid apange dili.... ucku akacngzia anaumwa tumbo full kulia yan.... mumewe kachanganykiw na kuwasha gari kumpeleka hsptl..... kumbe bidada kapanga dili kuanzia manesi hadi doctor na muda wa kuletwa hsptl...
  12. Baraka Roman

    Mara ya mwisho umepigana lin?na ulipigwa au ulipiga.

    Embu tujikumbushe kidogo kila mtu aseme mara ya mwisho alipigana lini na chanzo cha ugomvi kilikuwa nin? Mie mara ya mwisho nimepigana 1997 nilivyokuwa std 2.Chanzo cha ugomvi jamaa (alinikata,alinipiga mtama wakat tunacheza mpira) tulitoka ngoma dro coz watu waliamulia.Wewe je? Sent from my...
  13. Baraka Roman

    Form four msiwaze kurudia mitihan nenden chuo.Advance hakuna cha maana

    Natoa ushaul kama kaka niliyeona jua mapema kwa wale wote wenye mawazo ya kurudia mitihan au wanaotatizwa na maamuz waende chuo au Advance..Chuo kina faida kwasababu zifuatazo 1.Akil yako itakuwa na utaanza kufikilia kiutu uzima tofaut na ukiwa advance utajiona bado mtoto 2.Utajifunza kile kitu...
  14. Baraka Roman

    Isidingo inamaanisha nin?

    Tangu nimekua naijua itv nimeikuta isidingo hiv inamaanisha nin?kuna watu wanaifwatilia? Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  15. Baraka Roman

    Kwa uzoefu wako unapata picha gan?

    Ukienda kula lunch on date na girl badae mkapumzike kwenye nyumba zetu zileeee, ukaagiza chips yai na soda then akakutext "ungeagiza ugali nyama choma, ushushie na maji ingekua poa sana my boy" Kwa UZOEFU wako unapata picha gani? Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Back
Top Bottom