Baraka Roman
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 692
- 262
Nimekuwa nikisumbuliwa na jipu kila mwaka.Kwa miaka mitatu mfululizo ikifika mwez wa sita tu linatokea katikati ya makalio.
Ila mwaka huu limenitokea mwez wa pili na sasa naona dalili tena sehemu ni ile ile(Katikati ya Makalio) anayejua dawa ya kuliondoa msaada jamani.Naziona dalili zake sasa ila bado halijatoka
NB:Kukamua sio dawa kwangu maana miaka yote nilienda hospital wakanikamua ila tatizo linajirudia
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums