Fanya yafuatayo kabla haujainuka toka kitandani!!

Baraka Roman

JF-Expert Member
Feb 16, 2013
692
262
Sio unakurupuka 2 kitandan utafikir jengo limewaka moto, Amka kwa poz, KWANZA JINYOOSHE MWILI ILI UJUE KM UKO FIT, KOHOA KIDOGO ILI UTEST SOUND LINE,ELEWA SHWETAN NI GAID PENGNE KAIMUTE,THAN JAMBA KIDOGO KUPIMA MFUMO WA UPUMUAJ KM UKO POA, HALAFU SHIKA SEHEM NYET UJUE KAMA ZIPO MAANA DUNIA YA SASA HAIELEWEK, TABASAM KISHA PIGA MAGOT MSHUKURU MUNGU KWA KUKUACHA HAI TENA MZIMA WA AFYA NJEMA.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Daaaaaa mimi kwenye kunute sound ndo umenimaliza....safi Ndugu
 
Hiyo ya kujamba kuna jamaa alizoea kujamba kwa nguvu kila siku asubuhi, sasa hiyo siku kumbe alipata ugonjwa wa tumbo usiku. Kilichompata baada ya kujamba lol!
 
kok ililegea mdau, ndo maana kilichompata ni cri yake.
 
Back
Top Bottom