Vyoo vya uma vinaposababisha shari!!!

Vyoo vya uma vinaposababisha shari!!!

Baraka Roman

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
692
Reaction score
262
Nlikuwa kwenye choo cha jamii, mara nkasikia sauti kutoka choo kinachofuata;
Sauti: Oi Mambo vipi??
ME: kwa kumind nikamjibu Poa2!
Sauti: So Mishe zinaendaje?
ME: kama wewe nime2lia hapa!
Sauti: Naweza kuja hapo?
ME: [kwa kumind] nipo busy hata hauoni
Sauti: sasa ckia mwana ntakucall mida kuna -------- yupo choo cha pili anajibu maswali yote wakati siongei nae
ME: Majanga!!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
hahahaaa,ulikua unafanya nini mkuu?
 
Sijaelewa, hebu rudia

Kwa hisani ya Baraka Roman::

Nlikuwa kwenye choo cha jamii, mara
nkasikia sauti kutoka choo kinachofuata;
Sauti: Oi Mambo vipi??
ME: kwa kumind nikamjibu Poa2!
Sauti: So Mishe zinaendaje?
ME: kama wewe nime2lia hapa!
Sauti: Naweza kuja hapo?
ME: [kwa kumind] nipo busy hata hauoni
Sauti: sasa ckia mwana ntakucall mida kuna
-------- yupo choo cha pili anajibu maswali
yote wakati siongei nae
ME: Majanga!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom