Kwa uzoefu wako unapata picha gan?

Kwa uzoefu wako unapata picha gan?

Baraka Roman

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
692
Reaction score
262
Ukienda kula lunch on date na girl badae mkapumzike kwenye nyumba zetu zileeee, ukaagiza chips yai na soda then akakutext "ungeagiza ugali nyama choma, ushushie na maji ingekua poa sana my boy"

Kwa UZOEFU wako unapata picha gani?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
eehh hapo sasa, lazima utaona aibu.
 
Ukienda kula lunch on date na girl badae mkapumzike kwenye nyumba zetu zileeee, ukaagiza chips yai na soda then akakutext "ungeagiza ugali nyama choma, ushushie na maji ingekua poa sana my boy"

Kwa UZOEFU wako unapata picha gani?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Mkuu hako ka signature chini unaka setije.
Sent from..........
 
Atakuwa anahofu utampotezea muda. Huwezi kula chips mayai na soda afu ufanye kazi ngumu.
 
Dah... Yamekukuta nn arif?

Yap nilishtuka nikajua yaleo kali kumbe nilikuwa nshatupia ugali wangu kitambo pale na kazia

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom