Baraka Roman
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 692
- 262
Ni Kwa hisani ya pesa, vizuri huwa vibaya
Ni kwa hisani ya pesa,vibaya huwa vizuri
Ni kwa hisani ya pesa, wabaya huwa wazuri
Ni kwa hisani ya pesa,wazuri huwa wabaya!
Ni kwa hisani ya pesa,binadamu hutukuzwa
Ni kwa hisani ya pesa, waongo huwa wakweli
Ni kwa hisani ya pesa, vidogo huwa vikubwa
Ni kwa hisani ya pesa, vikubwa huwa vidogo
Ni kwa hisani ya pesa,wapenzi husalitiwa
Ni kwa hisani ya pesa, visasi huwa ni sawa
Ni kwa hisani ya pesa,maisha huwa ya raha
Ni kwa hisani ya pesa,maisha huwa karaha
Nisaidieni tumalizie shair langu la hisani ya Pesa
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums