Search results

  1. Isike Moses

    Msaada wa usafiri Dar - Tabora

    Habari wanajamvi, poleni kwa majukumu ya siku. Naleta kwenu ombi hili ili kuweza kunipatia msaada wa usafiri kutoka Dar Es Salaam kwenda Tabora. Nimepitia changamoto nyingi kwa muda sasa nimekuwa na nyakati ngumu sana hivyo nimefanya uamuzi wa kurudi kwanza kijijini Tabora. Naomba kupata msaada...
  2. Isike Moses

    Malipo ya fomu kwa Wakala wa Huduma za Misitu (TFS)

    Naomba kufahamu, akaunti namba ya kufanya malipo ya fomu ya maombi ya kuomba usajili wa kuvuna na kutengeneza mkaa kwa CRDB au NMB ni ipi?
  3. Isike Moses

    Msaada kuhusu Halotel

    Kila nikiweka salio wanalamba 100 wananiambia kuhusu simulizi /hadithi. Nimefanya jitihada zote kuwasiliana nao (customer care, mitandao yao ya kijamii) hakuna majibu. Mwenye kufahamu jinsi ya kujitoa msaada please Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Isike Moses

    Ndeanka na wenzake wanahitajika majimbo yote Tanzania Bara na Zanzibar kufanya 'fujo' kama kwa Mbowe

    Katika anga ya siasa za Tanzania, tukio kubwa na linaojadiliwa kwa sasa ni FUJO zilizo jitokeza kwenye mkutano wa Mh. Freeman Mbowe alipokuwa akihutubia wananchi jimboni kwake. Kundi la 'vijana' liliibuka na kuanza kupiga kelele na kutoa maneno yenye mlengo wa kutokubaliana na uongozi wa Mh...
  5. Isike Moses

    Tume Huru ya Uchaguzi anayotaka Mkapa & Wapinzani ni ipi? Au kama hii ya Ghana? Nani anatupatia?

    Ghana ndiyo Taifa linalo tolewa mfano wa kuwa na Demokrasia safi ya Uchaguzi wa kisiasa Africa. Hoja hii inatokana na kile kinachoelezwa kuwa uwepo wa Tume Huru ya Uchaguzi (EC). Kwa mujibu wa Katiba ya Ghana ya 1992 imeweka namna tume hiyo inaundwa, majukumu yake, chanzo chake cha fedha na...
  6. Isike Moses

    Kusudio la kufutwa bandiko

    Salaam Mnamo mwezi May 11,2018 niliweka bandiko lenye kichwa cha habari 'MKAZI WA DAR ATAFUTWA NA JESHI LA POLISI KWA UTAPELI'. Mtuhumiwaalipatikana, akawajibishwa kisheria na kesi ya msingi kwa sasa imemalizika. Naomba Moderators wafute bandiko husika. Nawasilisha.
  7. Isike Moses

    Nawezaje kupokea pesa kwa njia ya simu kutoka Rwanda

    Salaam wana jamvi Asubuhi hii nilitakiwa kutumiwa pesa kwa njia ya simu (Mpesa) ila imeshindikana. Watoa huduma wa Rwanda wamesema kuna mambo hayapo sawa na wanasubiri mashauriano katika ya viongozi wakuu wa nchi zote mbili (Tanzania na Rwanda). Huduma hiyo wanaweza kufanya kwa kutuma Uganda...
  8. Isike Moses

    Simu inauzwa - Iphone 6 plus mpya

    Wanabodi, salaam. Nimetoka sasa hivi kupokea simu mbili ambazo nimetumiwa toka nje, moja ni IPHONE 6 PLUS na SAMSUNG S5. Napenda kutumia simu za Samsung, kwa hiyo nimeamua kuuza iPhone 6 plus. Kwa majadiliano ya biashara (kuuza) njoo PM au piga +255 620670392
  9. Isike Moses

    Kuna kitu Zitto anataka umma ujue au ni siasa za maji taka?!

    Nimepita katika facebook page ya Mh. Zitto Kabwe, nimekuta ujumbe huu ambao nahisi kuna jambo anataka umma 'uambiwe ukweli' na Mwenyekiti wa CCM Taifa,juu ya uhusiano kati ya SAHARA ENERGY na fedha za kuendesha mkutano uliompa Mh Magufuli uenyekiti wa CCM Taifa... "Katika uchambuzi huu wa...
  10. Isike Moses

    Vita dhidi ya Madawa ya kulevya: Kijana kwa jina la "KAZI" akamatwe ataje wengine

    Hii ni mara yangu ya kwanza kuweka bandiko hapa JamiiForums, miaka yote nimekuwa mchangiaji kwa mabandiko ya wadau wengine. Naelewa ugumu wa vita dhidi ya biashara haramu ya dawa za kulevya, naelewa jinsi inavyohusisha maofisa wa serikali katika kuwalinda wafanyabiashara hao wenye utajiri...
Back
Top Bottom