Simu inauzwa - Iphone 6 plus mpya

Isike Moses

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
2,789
4,245
Wanabodi, salaam.
Nimetoka sasa hivi kupokea simu mbili ambazo nimetumiwa toka nje, moja ni IPHONE 6 PLUS na SAMSUNG S5. Napenda kutumia simu za Samsung, kwa hiyo nimeamua kuuza iPhone 6 plus. Kwa majadiliano ya biashara (kuuza) njoo PM au piga +255 620670392

IMG_20170103_152542.jpg
IMG_20170103_152539.jpg
 
Muuza iphone uko wapi tanzania hii,mimi niko songea naweza kukupigia simu kumbe uko bukoba,nitakua nimepoteza vocha bure
 
Unaweka tangazo halafu unakimbia cjui hii ni akili ya kinani nani vile....au ya kitetemeko zaidi?
 
Back
Top Bottom