Isike Moses
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 2,788
- 4,245
Habari wanajamvi, poleni kwa majukumu ya siku. Naleta kwenu ombi hili ili kuweza kunipatia msaada wa usafiri kutoka Dar Es Salaam kwenda Tabora. Nimepitia changamoto nyingi kwa muda sasa nimekuwa na nyakati ngumu sana hivyo nimefanya uamuzi wa kurudi kwanza kijijini Tabora.
Naomba kupata msaada wa usafiri iwe gari binafsi, roli au IT ili tu kuweza kufika Tabora kwanza. Naomba sana, mimi nipo eneo la Mombasa kuelekea Gogo la mboto.
Mawasiliano yangu ni 0764002120.
Ahsante sana, nipo tayari muda wowote.