Kusudio la kufutwa bandiko

Isike Moses

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
2,789
4,243
Salaam
Mnamo mwezi May 11,2018 niliweka bandiko lenye kichwa cha habari 'MKAZI WA DAR ATAFUTWA NA JESHI LA POLISI KWA UTAPELI'.

Mtuhumiwaalipatikana,
akawajibishwa kisheria na kesi ya msingi kwa sasa imemalizika. Naomba Moderators wafute bandiko husika.

Nawasilisha.
 
Vipi amefungwa jela? Wacha akaolewe huko gerezani sasa
 
Back
Top Bottom