Search results

  1. Mjasiriamali M

    Used Colored Photocopy Machine From Uk, Inauzwa

    . Haijawahi Kutumika Tanzania. Ina Uwezo wa Kutoa Copy Nyeusi na za Rangi kwa Spidi ya Karatasi 32 Kwa Dakika. Ipo na Wino wake wa Ziada. Njoo Ujiridhishe Uchukue Mashine Hii Nzuri kwa Ajili ya Ofisi au Biashara yako na Utapata na Wino wa Ziada. Make: Canon Model : IR C3200N Analog / Digital...
  2. Mjasiriamali M

    Nafasi za Kujitolea For 2 Months Then Kazi Rasmi (Online Article Writing (Publishing)and Data Entry)

    Habari za Leo wana JF. Mimi ni Mjasiriamali ambaye natumia Muda wangu mwingi kwenye Shughuli za Mtandaoni. Nna zaidi ya Miaka 4 sasa Nimekuwa Nikifanya hichi nnachokifanya, Namshukuru Mungu Life si Baya. Nna Plan ya kufanya mambo kama matatu tofauti kuhusiana na Issues za Online, Napenda...
  3. Mjasiriamali M

    Nna hitaji Desktop Computer

    Habari za Leo Wakuu, Hope Mpo Salama. Nnahitaji Desktop Computer (Complete) yenye hali nzuri angalau Ram 2, hdd 120, processor 2.0 kwenda juu. Budget iliyopo ni Tsh Laki 2, Yaweza ongezeka kulingana na Hali ya Computer Husika. Kama unayo waweza nitafuta kwa cm 0719 44 72 04(Whatsapp) nitumie...
  4. Mjasiriamali M

    Mtaalam wa Wordprss, Nahitaji Huduma yako

    Habari za leo wakuu, katika pitapita zangu nimeamua kununua hosting ya site yangu, natumia wordpress, kuna template nimenunua ila inanipa shida kuwa extracted mpaka kuwa installed. kama wewe ni mjuzi wa hili pls help, nicheki katika 0752 98 13 80 au 0719 44 72 04. Tuone tunasaidiana vp!
  5. Mjasiriamali M

    Jinsi ya kujiajiri katika mtandao kama blogger (blogging for business)

    Kwa Miaka ya Hivi Karibuni Kumekuwa na Ongezeko Kubwa la Blogs na Website Katika nchi zinazoendelea, Tanzania Ikiwa miongoni mwao. Kundi kubwa la vijana waliosomea masuala ya computer na programs zake wakuwa vinara katika kufungua Blogs na Kuziendesha kwa Matumizi Tofauti Tofauti. Wachache...
  6. Mjasiriamali M

    Nahitaji Volunteers katika Uwanja wa Web Designing na IT kwa Ujumla, Tufanye Kazi Pamoja

    Habari za Leo Wakuu! Nimekuja hapa kuwaomba wale ndugu zangu ambao ni Graduates au wana Ujuzi katika mambo ya Web Designing na IT kwa Ujumla, ambao bado hawajapata Kazi kujiunga nami ili kufanya Kazi za Uwanja Huo Pamoja. Nimetanguliza Neno Kujitolea kwa maana kwa stage ya Project Husika ilipo...
  7. Mjasiriamali M

    Napangisha Frem yangu na Biashara yake ya Chips

    Habari za Leo Wakuu, Husika na Somo Tajwa Hapo Juu, Nna Biashara yangu Ina Run ipo maeneo ya Tandika Magorofani Karibu na Chuo cha Bandari pamoja na Chuo cha Utalii pembeni Mwa Hospital mpya. Eneo ni Zuri kwa Biashara. Nimekosa Usimamizi mzuri wa hawa Vijana wangu, Hapo mwanzoni tulikuwa...
  8. Mjasiriamali M

    Nnahitaji Mtu/ kampuni ya Kunitengeneza Vitambulisho vya Kisasa (Smart card type)

    Habari zenu wakuu!! Tafadhali husikeni na somo tajwa hapo juu, kama kuna mtu anaiweza Tenda hiyo ya kutengeza vitambulisho vya mfumo huo tafadhali tuwasiliane anitumie sample ya kazi zake na price yake katika e mail :- mutchoh@gmail.com, shukrani. 0719 447 204. kama ukihitaji kunipata haraka.
  9. Mjasiriamali M

    Nauza kuku wa mayai ambao sasa wamegeuka wa kienyeji, jipatie mbegu na nyama bora hapa

    Habari za leo wadau, Nimekuwa na Kuku wa Mayai Kwa Mwaka Sasa, wametaga kiasi chake ingawa kwa kipindi cha mwezi sasa wamesitisha kutaga, so tangu walipoamua kugoma huko nami nimewabadilishia mazingira ya kutoka Uzungu na kuwa Uswahili, NOW wanakula Mostly Pumba na mabaki ya vyakula vya...
  10. Mjasiriamali M

    Nahitaji Mayai ya Kuku wa Kisasa Bei ya Jumla

    Habari za Jioni Wakuu, Ni Matumaini Mpo Salama na Mnaendelea Vizuri na Pirika zenu za Kila siku. Nna Hitaji Mtu wa kuniuzia (supplier) wa mayai ya kuku wa Kisasa Kuanzia Trays 50 na Kuendelea. Mimi nna soko tayari ila uwezo wa kulimudu ndio umeshika so sihataji kuwapoteza wateja wangu. Offa...
  11. Mjasiriamali M

    Nahitaji mayai ya kuku wa kisasa kwa bei ya jumla

    Habari za Jioni Wakuu, Ni Matumaini Mpo Salama na Mnaendelea Vizuri na Pirika zenu za Kila siku. Nna Hitaji Mtu wa kuniuzia (supplier) wa mayai ya kuku wa Kisasa Kuanzia Trays 50 na Kuendelea. Mimi nna soko tayari ila uwezo wa kulimudu ndio umeshika so sihataji kuwapoteza wateja wangu. Offa...
  12. Mjasiriamali M

    Online Data Entry - Part Time- 2 post

    Habari za Leo Wana ndugu, Nipenda kutoa taarifa ya Uwepo wa nafasi za kazi za muda maalum (Part Time) za Data Entry online. Hii inawahusu wale wote ambao wana Access ya Computer majumbani kwao lakini hawajapata kazi ya kudumu ya kufanya. Wahitimu wa kidato cha nne Hadi 6, itawafaa zaid, na wa...
  13. Mjasiriamali M

    Maumivu kifuani na tumboni wakati wa Kula Chakula

    Habari za Jion, jamani tangu juzi nimejigundua nna pata maumivu kuanzia usawa wa kifuani(chembe) mpaka tumboni, yaani nikila chakula nakifeel kinavyopita mpaka kinafika mwisho, mwanzoni nilihisi nakula bila kutafuna vizuri na kumeza na maji lakini bado leo ni siku ya 3 naendelea kupata maumivu...
  14. Mjasiriamali M

    Kwa Bloggers na ambao wanatarajia kuwa Bloggers, Soma haya halafu Uliza au Comment kama kuna lolote.

    Awali niliwahi kuandika Thread Kuhusiana na Blogging, Kutokana na maswali yenye changamoto kutoka kwa wadau mbali mbali, tukaona bora tukutane kwa pomaja ili tuondoe kiwingu chote, naomba kuwasilisha hili:- Bloggers Seminar/Training Habari za Leo wapendwa Bloggers, Nimatumaini yetu Mnaendelea...
  15. Mjasiriamali M

    Tangazo la Semina/Training kwa Bloggers wa Dar Es Salaam

    Bloggers Seminar/Training Habari za Leo wapendwa Bloggers, Nimatumaini yetu Mnaendelea Vizuri na Shughuli zenu za Ujenzi wa Taifa na Zaidi ya yote ni wazima kiafya. Kama Kichwa cha habari kinavyojieleza, Team nzima ya Tanzania Bloggers imedhamiria kutoa mafunzo na majadiliano ambayo yanalenga...
  16. Mjasiriamali M

  17. Mjasiriamali M

  18. Mjasiriamali M

    Tahadhari ya MIKOPO ya Kitapeli Mitandaoni

    Habari za Leo ndugu wajasiriamali, Kwa uchache naomba niseme kuhusu wimbi la matapeli walioibuka katika Mitandao na kujifanya wao ni Taasisi za Mikopo na Nyingine hufika mbali hadi kujihusha na Serikali au Taasisi nyeti za Kiserikali katika kufanikisha azma yao chafu ya utapeli. Sasa hivi...
  19. Mjasiriamali M

  20. Mjasiriamali M

    Msaada Wa Showroom au Bank wanayokopesha Wafanyakazi Magari

    Habari za Leo Wakuu? Nna Ndugu yangu ni mwajiriwa wa Serikalini,(Mwanasheria wa Serikali) yupo katika Process za kuchukua Mkopo kwa Mambo yake Personal, At the same time anahitaji sehemu ambayo wanaweza Kumkopesha Gari. Nawasilisha kwenu nipate Ufafanuzi na Msaada zaidi.
Back
Top Bottom