Mjasiriamali M
Senior Member
- Jan 15, 2013
- 142
- 69
Habari za Leo wana JF.
Mimi ni Mjasiriamali ambaye natumia Muda wangu mwingi kwenye Shughuli za Mtandaoni. Nna zaidi ya Miaka 4 sasa Nimekuwa Nikifanya hichi nnachokifanya, Namshukuru Mungu Life si Baya.
Nna Plan ya kufanya mambo kama matatu tofauti kuhusiana na Issues za Online, Napenda Nipate Watu wa Kufanya Nao Kazi Ili Things ziende Smoothly.
Kwa Sasa Nnahitaji Volunteers Angalau Wawili au Watatu, Ambao Ntawapa Training Kuhusu Nini cha Kufanya kwa Muda wa Wiki 1 Then Kazi Yetu Kuanza Rasmi. Uzuri wa Kazi Hii Unaweza Kuifanya Hata Ukiwa Nyumbani. Ni Online Article Writing (Publishing) and Data Entry.
SIFA ZA VOLUNTEERS
Elimu: Angalau Kuanzia Form Six na Kuendelea (Certificate to Degree Preferably)
Fani: It, Social Sciences, Media na Journalism n.k
Ujuzi: Ni Lazima Uwe Mjuzi wa Kutumia Computer kwa Ms Word na Internet Sana.
Umri: Miaka 18 hadi 35
Uwezo wa Kuandika Kiingereza Vizuri, Kuandaa Mada au Kubadilisha Mada ya Kiswahili na Kuifasiri kwa Kiingereza Kizuri.
Uwe na Ujuzi na Mtumiaji wa Mitandao ya Kijamii kama Facebook, Instagram Twitter m.k
LAZIMA
Uwe na Smart Phone Na Laptop au Desktop Yako na Modem au Access ya Internet ya Uhakika.
Allowances:-
Nna Imani Wote wata Choose kufanyia Hii Kazi Nyumban Hivyo Basi Allowance Itakuwa ni Tsh Laki Moja (100,000/=) Kama Kifuta Jasho, Plus Elfu 30 ya Bundle ya Mwezi Mzima.
Au Kuja katika Ka Ofisi Ketu Ukafanyia Kazi Hapa, Utapata Allowance yako na Chakula, net ipo ya Uhakika.
Muda wa Ku Volunteer ni Miezi Miwili Baada ya Hapo Ni Kazi Rasmi Ambayo Utalipwa Si Chini ya Laki 3 kwa Mwezi Plus Bundle na Bonus Zingine.
Training ni Wiki 1, Ambapo Mkiwa Training Mtapewa Nauli na Chakula Bure.
Kama Upo Interested Kujiunga Nami Nitumie Email ya CV Yako na Maelezo kuhusu Umuhimu wa Nafasi hii Kuipata Wewe. Tuma Kwenda mutchoh@gmail.com
Mengine Tutafahamishana Zaidi.... Training ni Kuanzia Next Week. Mwisho wa Kutuma Maombi ni Jumatatu Saa 5 Asubuhi (Tarehe 16/05/2016)
Niwatakie Kila La Kheri.... Asanteni na Samahani kwa Niliowasumbua.