Nna hitaji Desktop Computer

Mjasiriamali M

Senior Member
Jan 15, 2013
142
69
Habari za Leo Wakuu,
Hope Mpo Salama.
Nnahitaji Desktop Computer (Complete) yenye hali nzuri angalau Ram 2, hdd 120, processor 2.0 kwenda juu.

Budget iliyopo ni Tsh Laki 2, Yaweza ongezeka kulingana na Hali ya Computer Husika.

Kama unayo waweza nitafuta kwa cm 0719 44 72 04(Whatsapp) nitumie picha na tuongee Biashara.

Asubuh Njema.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom