Msaada Wa Showroom au Bank wanayokopesha Wafanyakazi Magari

Mjasiriamali M

Senior Member
Jan 15, 2013
142
71
Habari za Leo Wakuu?
Nna Ndugu yangu ni mwajiriwa wa Serikalini,(Mwanasheria wa Serikali) yupo katika Process za kuchukua Mkopo kwa Mambo yake Personal, At the same time anahitaji sehemu ambayo wanaweza Kumkopesha Gari. Nawasilisha kwenu nipate Ufafanuzi na Msaada zaidi.
 
Back
Top Bottom