Search results

  1. W

    Nina certificate naweza kuomba kusoma masters!

    Wakuu nina mdogo wangu alisoma certificate hapa CBE akapata ajira sasa ni mwaka WA sita ofisi imeamua kumpa ufadhili WA kusoma kwa mwaka wa masomo 2012/2013 Yeye amechukua fomu za masters na tayari amejaza anataka kurejesha. Je anaweza kuchaguliwa asome masters. Kama haiwezekani aombe nn?
  2. W

    ku-unlock simu IDEOS

    Nimenunua simu IDEOS kwenye promotion ya Tigo sasa nikiweka laini ya simu nyingine inaandika SIM network unlock PIN. Naombeni msaada nifanye nini ili nitumie laini nyingine (unlocking ) Natanguliza shukrani.
  3. W

    Hivi naibu Spika anadhani Bunge la TZ ni CCM lipo kushindana na upinzani

    Nimeshangazwa sana na kauli ya naibu spika bwana Job Ndugai wakati wa kufunga bunge mchana tarehe 15/7/2011kutangaza kuwa kwa kuwa mtoa hoja wa kambi ya upinzani alipomaliza kutoa hoja hakuuliza wanaounga mkono hoja hivyo hoja yake imepotelea hewani. Mimi najua kwa kuwa bunge linatetea maslahi...
  4. W

    Tusifanye mzaha na maisha ya watanzania kwa ajili yakupata sifa kutoka kwa wanasiasa

    Tanzania sasa imefikia mahali ambapo kila mtu (kiongozi) anafanya jambo analotaka bila ya wasiwasi huku akijua anavunja sheria za nchi na akijua fika kuwa hatachukuliwa hatua bali atapongewa na wakuu wa nchi. Habari za mauaji ya Nyamongo imenisikitisha sana, polisi ambao kwa kipindi hiki...
  5. W

    Mwenye video ya Samwel Sitta kuhusu ulipwaji wa Dowans

    Wana JF naomba kama kuna aliye na vido clip ya yale maoni ya Samwel Sitta kuhusu kulipwa kwa Dowans anipatie hapa kwenye Forum. Thanks in advance
  6. W

    Ushauri wa bure kwa polisi

    Wewe polisi unayefyatua risasi kwa mtanzania ambaye unalipwamshara kutokana na kodi yake kwa kuwa umepokea maelekezo kutoka kwa "mkuu" wenu naomba mjiulize hiyo damu itakuwa mikononi mwa nani? mwako au mwema au andengenye/ye aliyekuambia ufanya hayo? kumbuka hakuna kitu kibaya kama damu isiyo na...
  7. W

    Elections 2010 Ambao majina yao hayakuonekana kwenye vituo vya kupiga kura

    :sad: Watanzania tumekuwa wapole sana kiasi kwamba tunatia huruma. Sio siku nyingi tume ya uchaguzi ilitoa majina ya watakaopiga kura kwenye vituo walivyojiandikishia. La kushangaza na ambalo naona watufanya wajinga ni kuwa majina ya watu wengi hayakuwepo/ hayakutoka. Tujiulize 1. HAYO MAJINA...
  8. W

    Elections 2010 Ziara za mama salma kikwete na magari ya serikali

    Nimengalia kwa makini na kutafakari sana kisha nikaona kuwa kuna watu wanadhani kuwa watanzania wote ni wajinga kwa kiwango wanachotufikiria wao. Sasa hivi mama Salma Kikwete ana ziara Tanzania nzima. Magari anayotumia ni mazuri sana na yapo zaidi ya manne. yale magari hayaingii akilini kuwa ni...
  9. W

    naomba serial number ya visual dj atomiz 2.0

    kwa yeyote mwenye serial number ya atomix virtual dj 2.0 naomba anisaidie. Thanks in advance
  10. W

    Ya zimbabwe - tutegemee hili

    Mchakato mzima wa uchaguzi wa Zimbabwe na kurudia kupiga kura ulimalizika kwa Rais Robert Mugabe kuibuka kidedea mara zote mbili. Kilichofuata ni malalamiko mengi sana juu ya vitendo vya wizi wa kura ambavyo hadi nchi ikawekewa vikwazo. Leo wamepaatana na kuungana na aliyekuwa anasema kura zake...
Back
Top Bottom