:sad: Watanzania tumekuwa wapole sana kiasi kwamba tunatia huruma. Sio siku nyingi tume ya uchaguzi ilitoa majina ya watakaopiga kura kwenye vituo walivyojiandikishia. La kushangaza na ambalo naona watufanya wajinga ni kuwa majina ya watu wengi hayakuwepo/ hayakutoka.
Tujiulize
1. HAYO MAJINA KWA NINI HAYAKUTOKA?
2. WALIOSAJILIWA KUPIGA KURA NA KUPEWA KADI ZA KUPIGA KURA WALIANDIKWA WAPI?
3. KAMA WALIANDIKWA KWENYE DAFTARI LA WAPIGA KURA KURASA WALIZOANDIKWA ZILILIWA NA PANYA?
4. KAMA HAPANA ZIKO WAPI? NA TUME IMEFANYA NINI BAADA YA KUJUA HILI KABLA YA UCHAGUZI?
Tukumbuke waliandikisha walikuwa wanalipwa hela za kodi zetu kisha leo hawana tamko kuelezea na uchaguzi unafanyika baada ya miaka mitano hivyo walikuwa na nafasi ya kutosha kuangalia na kuhakikisha kila mtu aliyejiandikisha jina lake linatoka. KWA NINI VIONGOZI WA TUME YA UCHAGUZI WASIJIUZULU KWA UZEMBE NA UFISADI WALIOUFANYA KWA KUWAKOSESHA WATANZANIA HAKI YAO YA KIKATIBA YA KUCHAGUA MTU WANAYEMTAKA?
WATOKEE HADHARANI NA KUELEZEA UPUUZI WALIOUFANYA NA SIO KUOMBA SAMAHANI KWA WATANZANIA.
MIMI MWENYEWE JINA LANGU HALIKUTOKA NA SIKUWAHI KUHAMA SEHEMU NILIPOJIANDIKISHA :sad: