Ushauri wa bure kwa polisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri wa bure kwa polisi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Wakwetu, Jan 7, 2011.

 1. W

  Wakwetu Senior Member

  #1
  Jan 7, 2011
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 157
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wewe polisi unayefyatua risasi kwa mtanzania ambaye unalipwamshara kutokana na kodi yake kwa kuwa umepokea maelekezo kutoka kwa "mkuu" wenu naomba mjiulize hiyo damu itakuwa mikononi mwa nani? mwako au mwema au andengenye/ye aliyekuambia ufanya hayo? kumbuka hakuna kitu kibaya kama damu isiyo na hatia kwani itakuandama milele. au unadhani utajitetea kuwa unatakeleza amri halali kama mlivyozoea huo usemi kuwa amri chochote unachoambiwa na mkuu wako ni amri halali.
  Wakati umefika. utastaafu utarudi mtaani, mtoto wako atapigwa risasi na itakuuma sana lakini ni malipo na ninaomba mjue kuwa malipo ni hapa hapa duniani.
  Msifuate upepo, mikono yenu inakuwa na damu na sio ya mwema wala jk wala andengeye. Kuweni makini na maamuzi mnayofanya ya kukubali kushoot risasi za moto kwa mtanzaia asiyena silaha :heh:
   
Loading...