Tusifanye mzaha na maisha ya watanzania kwa ajili yakupata sifa kutoka kwa wanasiasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tusifanye mzaha na maisha ya watanzania kwa ajili yakupata sifa kutoka kwa wanasiasa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Wakwetu, May 25, 2011.

 1. W

  Wakwetu Senior Member

  #1
  May 25, 2011
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 157
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tanzania sasa imefikia mahali ambapo kila mtu (kiongozi) anafanya jambo analotaka bila ya wasiwasi huku akijua anavunja sheria za nchi na akijua fika kuwa hatachukuliwa hatua bali atapongewa na wakuu wa nchi.
  Habari za mauaji ya Nyamongo imenisikitisha sana, polisi ambao kwa kipindi hiki wanafanya kazi za CHAMA zaidi kuliko kulinda usalama wa wananchi na mali zao wanapiga risasi hovyo hovyo kisha wanapata utetezi kutoka huko polisi kuwa wameua wahalifu. Juzi OCD wa wilaya ya Kibondo amempiga risasi mkufunzi wa chuo cha sokoine sababu eti alikuwa anamkimbiza baada ya mkufunzi huyo kumgonga mwendesha baiskeli OCD akapiga risasi tairi ya mbele kisha the same risasi ikampiga matakoni mkufunzi hadi akapelekwa ICU, hajachukuliwa hatua, GOOD!!!!! Je RPC AU MWEMA angekuwa ndio baba yake amefanyiwa hivyo je?
  Nyamongo je wakazi wa eneo husika wanapigwa shaba kisha bwana Masawe (akapimwe akili) anaongea upuuzi wa chooni kusapoti mauaji na kuwakamata waandishi wa habari na wabunge. Natamani familia yake huko moshi wafanyiwe same action ya kupigwa risasi then aseme ni sahihi na maiti zao zitupwe barabarani usiku wa manane. naamini ndo atajua uchungu wa kifo.
  Je Mwema hadi sasa amemwacha akalie kiti cha OCD kwa nini? Au kwa kuwa alisaidia chama kupata kura nyingi kwenye uchaguzi? hapa sio suala la serikali kuchukua au kufanya maamuzi au kuunda tume kama kawaida yao nusu ya tume wakiwa ni polisi hapana. ni wananchi kuamua kama huyu Masawe anastahili kuishi tarime au la? Je ana manufaa kwa wananchi wa Tarime kwa Kulinda usalama wa mali na raia?
  Kwa upande wa polisi I know them IN-OUT. wapo walioingia jeshini kwa vimemo. wapo ninaowafahamu wana silaha zaidi ya tatu wamezificha ambazo kazi zake ni kuwabambikia watu kuwa ni majambazi. Silaha hizi wanazipta kutoka kwa wenzaoo walioko mikoa ya Kagera, Kigoma ambazo zinatoka Burundi na Rwanda kisha wanazificha. wapo zaidi ya kumi nafahamu wanasilaha na RPC naOCD wao wanafahamu hili kwani ni njia yao ya kuongeza kipato sasa sijui hiyo mikoa ya vita askari wake wana uadilifu kiasi gani kiasi cha kuleta sillaha hadi mbeya.
  Namalizia kwa kusema polisi wa tanzania siwapendi na sina imani nao hata kidogo na kwa taarifa yao the day will come watajuta. Nguvu ya wananchi itawakomesha, familia zao siku moja watafanyiwa kama wao wanavyofanya.
  Kama nimesema vibaya samahani ila ukweli unauma sana hasa kwa polisi na wana CCM na nitakuwa mkweli siku zote
   
Loading...