Nina certificate naweza kuomba kusoma masters! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nina certificate naweza kuomba kusoma masters!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Wakwetu, Apr 9, 2012.

 1. W

  Wakwetu Senior Member

  #1
  Apr 9, 2012
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 157
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakuu nina mdogo wangu alisoma certificate hapa CBE akapata ajira sasa ni mwaka WA sita ofisi imeamua kumpa ufadhili WA kusoma kwa mwaka wa masomo 2012/2013 Yeye amechukua fomu za masters na tayari amejaza anataka kurejesha. Je anaweza kuchaguliwa asome masters. Kama haiwezekani aombe nn?
   
 2. s

  sithole JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 304
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  mmh ninavyojua kama ana certificate inabd asome diploma 2yrs,then degree 3 yrs,hapo ndio atakua ame qualify kwa masters,labda awe amesoma masomo mengine like Cpa au Csp,au associate diploma in banking hapo masters anaeza pata.
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Apr 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Inawezekana,tanzania zaidi ya uijuavyo!!

  Elimu ya certificate~na form 6
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Apr 9, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Huyo level yake ni diploma.
   
 5. u

  utantambua JF-Expert Member

  #5
  Apr 9, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aombe tu atapata!
   
 6. W

  Wakwetu Senior Member

  #6
  Apr 9, 2012
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 157
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Elimu yake ni kidato cha nne kisha certificate ya cbe
   
 7. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #7
  Apr 9, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Chuo cha Bilblia!
   
 8. W

  Wakwetu Senior Member

  #8
  Apr 9, 2012
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 157
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nashukuru kwa mwangaza ulionipa mkuu!
   
 9. M

  Mopalmo JF-Expert Member

  #9
  Apr 9, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Naona anaota ndoto za mchana,elimu haihitaji haraka kiasi hicho,ni lazima apitie diploma kisha degree,anaweza kuunga degree kwa baadhi ya vyuo kwa kupitia mature age entry,ila kwa masters hiyo ni level nyingine kabisa,wala asipoteze application fee yake
   
 10. Mujumba

  Mujumba JF-Expert Member

  #10
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 854
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  pale JAPAN BIBLE INSTITUTE hata Phd atasoma ila hivi vya TCU afute hizo ndoto, asome tuu Dip coz hata degree sidhani kama atapata esp kwa huu utaratibu mpya wa CAS
   
 11. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #11
  Apr 10, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,105
  Likes Received: 553
  Trophy Points: 280
  we mwenyewe elimu yako ikoje.? Labda aende azania college of tourism and secretarial courses atapata. Hivi unafikiria masters ni yebo kiasi hicho? Au kwa sababu amekaa kazini miaka mingi? Watu wana degree hawapati ndo huyo mwenye cheti? Labda kama ni chakula ya mkubwa pale kwa wauza samaki.
   
 12. kejof2

  kejof2 JF-Expert Member

  #12
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 1,724
  Likes Received: 349
  Trophy Points: 180
  daah hata kma ni kuruka hyo itakua too much yani certificate to masterz
   
 13. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #13
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Cheti + Uzoefu anaweza kujiunga kuchukua shahada ya kwanza lakini siyo ya pili
   
 14. Mad Max

  Mad Max JF-Expert Member

  #14
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,434
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  certificate>diploma 2yrs>degree 3/4/5 yrs>masters.
  mshaur aende Mdogo mdogo usimkatshe tamaa
   
 15. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #15
  Apr 10, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,230
  Likes Received: 13,687
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha ha ha ha ha ha ha. Ndo kwanza nasikia Leo,HAKUNA KITU KAMA HICHO MKUU mwambie aanze Diploma
   
 16. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #16
  Apr 10, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  JF haishi vituko, yaani na wewe uliyeta uzi nadhani kabisa huna hata certificate maana ungejua huyo mdogo wako hata kwa miujiza hawezi kupata admission ya masters.

  Mkuu mambo mengine hata hayaitaji kuuliza yapo wazi kabisa, kikawaida mtu ambaye anasoma certificate kama kafika form six ina maana hana pass nzuri na kama ni form four ina maana hata C tatu mtihani.

  Kutoka hapo alipo apae hadi masters!!!!
   
 17. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #17
  Apr 10, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Ila hlo linawezekana kwa vyuo kama tumaini.
   
 18. Ariella A.K

  Ariella A.K Senior Member

  #18
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 199
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hawezi pata admission ya Masters. Hilo ndo jibu!
  JF...not boring at ol!
   
 19. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #19
  Apr 10, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  duuhh.....hadi nimecheka!
   
 20. v

  viane Member

  #20
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Njoo marangu usome computer then ndio uende dip cose akili zako fupi itakua hata computer hujui
   
Loading...