UCHAGUZI WA BAVICHA TAIFA.....
HII NI KWA WANACHADEMA TU NA WAPENDA MABADILIKO YA KWELI YA NCHI YETU...
Kuelekea uchaguzi wa BAVICHA taifa wa mwaka huu......
Je, ni nani atatufaa kwa nafasi ya uenyekiti na ukatibu kati ya hawa?...
1.PHILIP MWAKIBINGA - Ni mwanachadema pekee ambaye...
NANI
ALIKUWA SAHIHI?
(A) CCM-Waliotoka nje ya maada ya rasimu ya katiba iliyowasilishwa na tume ya mzalendo Jaji Joseph Sinde Warioba na kuendeleza mjadala wa matusi na kejeli ndani ya mjengo wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania dhidi ya tume na watanzania waliotoa maoni yao,huku...
1. Mtela Mwampamba(green guard wa ccm)
2.Juliana Shonza(Mke wa Mwigulu wa ccm)
3.Habib Mchange.(Anamchanganyiko w ACT na CCM,anamsubiri Zitto amuamlie pa kwenda)
4.Nyakarungu(ACT).
5.Kitila Mkumbo(ACT)
6............
7............
8............
Ongezea wengine.
Kama waliingia madarakani kwa katiba ya zamani,bc watatoka kwa kufuata katiba hiyo ya zamani ambayo inasema kuwa uchaguzi utafanyika kila baada ya miaka mitano (5).Lazima watoke 2015,
Makamanda kamili tupo zetu chuo.Jana tumetoka zetu wilaya ya Bahi kwenye kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani.Ukombozi wa kweli utaletwa na Chadema.Karibuni sana kwenye mahafari ya kuwaaga makamanda wanaomaliza vyuo vikuu vya Dodoma yaani CHASO itakayofanyika tar 09 June.Pipozzzzzzzzzzzzzz
Acha kujifariji ww Mwampamba.Chadema Mbozi tuko imara zaidi unavyofikiria.Acha kuudanganya umma kuwa unakubalika Mbozi.Je unauhakika kuwa huo umati wa watu wote wanakukubali? Acha kufanya siasa kwa ajili ya kumridhisha Mwigulu Nchemba ili akupe posho.Chadema tutashinda
Mwampamba na magamba wenzie,mmekwishaaaaa.CHADEMA tuko imara sn Mbozi.Wanambozi hawana hamu na CCM tena.Huo mkutano wenu ulikuwa ni wakichama zaidi coz wengi walikuw ni magamba.
Big up sana Chaso-Morogoro.Na ss chaso-Dodoma tunategemea kufanya sherehe yetu ya makamanda na kukabidhiwa vyeti tar 08 June,.Mungu umlinde Dr.Slaa ktk harakati za ukombozi wa taifa letu
Hayo magamba yanataka kutugawa wanaMbeya.Kamwe ss hatutakubali upuuzi wa ccm.Njia pekee ya kusogeza huduma kwa wananchi ni kuanzisha sera ya majimbo.Vinginevyo magamba hapa mmegonga mwamba.Na nyie madiwani mnaotumika vibaya,jiandaeni kung'oka 2015
Akiwa ktk kuchangia hoja juu ya bajeti ya wizara ya nishati na madini,mbunge wa mpanda mjini na makamu mwenyekiti wa Chadema taifa amesisitiza viongozi wa serikali kutumia hekima zaidi pamoja na busara ktk kutatua migogoro baina ya serikali na wananchi.Hakika huu si wkt wa serikali ya ccm...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.