Kwa hoja hizi hapa,ni nani alikuwa sahihi kati ya ukawa na ccm?

Dec 21, 2012
96
15
NANI
ALIKUWA SAHIHI?

(A) CCM-Waliotoka nje ya maada ya rasimu ya katiba iliyowasilishwa na tume ya mzalendo Jaji Joseph Sinde Warioba na kuendeleza mjadala wa matusi na kejeli ndani ya mjengo wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania dhidi ya tume na watanzania waliotoa maoni yao,huku wakiendelea
kuchukua posho za walipa kodi?

(B) UKAWA-Waliotoka nje ya ukumbi wa bunge huku wakiendelea kutetea maoni ya wananchi yaliyopo kwenye rasimu ya katiba ya Jaji Warioba...
Hawakutoka nje ya maada bali walitoka nje ya jengo la bunge..

Toa maoni yako........
Toa mtazamo wako kuhusu ngwe nyingine ya bunge la katiba litakalo anza
Agosti 5.
 
Hakuna haja ya kuendelea na bunge la katiba hapo 5 august, watanzania tuzuie huu uchakachuaji wa kodi zetu na maoni ya wananchi, maslahi ya vyama yameingia zaidi kwenye bunge la katiba kuliko maslahi ya taifa na wananchi kiujumla!
 
Mapepo ya CCM ndiyo yaliyosababisha vurugu zote hizo. Hata JK anajua... yale majeshi ya mapepo aliyopewa na Sheikh Yahya ndiyo yamekasirika!
 
ukiwa ccm lazma uwe na akili km za ndondocha unafanya mambo bila kufikiria kwa matakwa ya wachache....ccm ni chama cha mapepo....
 
Mtawala akishindwa kuongoza watu kwa taratibu zilizomo ndani ya katiba basi hutumia nguvu ya vyombo vya dola kuongoza raia na hili ndilo linalotokea nchini mwetu,serikali hii imepoteza uhalali wa kutuongoza
 
Ccm kiukweli ktk mchakato wa katiba tumejitoa ufahamu. Mimi mwenyewe na wafanyakazi hapa wizarani tunataka serkal 3 na maoni ya wananch yaheshimiwe lakin wasaka urais wa mwakani,wale wanaotaka ubunge mwakani wanakomalia serkal 2 kunan? Makamba,sita,ngeleja,lowasa,migiro,tibaijuka,membe,mwandosya, na wasaka tonge wengine. Lakn ukitazama vizur wazee wazalendo wote wasio na maslahi mwakan wako upande wa ser 3. Msuya,msekwa,salim,Butiku, lwaitama,warioba,karume, na vijana wengne wenye kuwa na misimamo ya kizalendo kama Bulaya,Lugola nk. Shitukeni wtz, hawa wasaka urais mwakani wakikosa urais mtawasikia wakitaka serkal 3
 
Nilipitia ile sheria ya mabadiriko ya katiba ambayo ccm na wanasheria wao wanasema inawapa mamlaka ya kuondoa vifungu- yaan hata haina haja ya kusoma sheria cos kile kifungu kwa lugha ya kiswahili hakitoi mamlaka kwa bunge kuondoa kifungu ila wanforce tu
 
Ccm wana akili za kubebewa.kwamba wanaskiliza walio wabebea wanasemaje nao wanafata..wanafanya mambo kwa maslah yao utadhan nchi ya kwao peke yao. .ukawa waendelee kututetea wananchi wengi tulio nje ya huo mjengo wenye maswahbu
 
Kuna siku mbunge Kessy alikuwa na hojiwa pale Chanel katika kipindi cha "JE TUTAFIKA?" Yann nilishangaa mwenywe anashangaa kuwa serikali ya zanzibar mbona hipo huku nyingine iko wap!!! Mwenyewe alisema nashangaa mwenyew sielew tu
 
Rasimu yenye maoni ya wananchi ijadiliwe la kama inajadiliwa kwa maelekezo ya JK, wenye akili wote msikubali kuwa part ya uchakachuaji huo period.
 
Back
Top Bottom